Kweli kabisa huwezi ukamtembeza mtoto mzuri kwa tz 11wanadata na uchawi wa mzungu a.k.a gari
ukiazima gari unaweza ukajichagulia tu huku kitaa
Kama huna mia, sahau! Mwanamke akikuomba hela ya vocha, kusuka, kiatu asikose... AKIKOSA kesho unamkuta na kile ulichomnyiam, jua kuna fala mwingine kaingia kingi na mzigo kapewa...... kuwa mwangalifu
Teh teh teh teh teh kweli kabisaUmeshiba,,ukiwa na njaa huwez kuleta uzi km huu
Hahahaha hii kibokoPesa, tukiona wallet imejaa tu hali inakuwa si nzuri maeneo fulani.............
hahahahahaha umetisha sanaa.....Pesa, tukiona wallet imejaa tu hali inakuwa si nzuri maeneo fulani.............
Wanaume tuna udhaifu sana na maeneo haya ya wanawake; miguu mizuri, mapaja, tukiona chupi, ama wanawake wakikaa vibaya. Hali inakuwa si nzuri maeneo yetu fulani.
Je, Nanyi wanawake mnavutiwa na nini kwetu?
Ameshatutoka huyuhuyu ni expert memba
Kama mimi???Dah mimi nikiona mwanaume msafiiiiii yaani namtamani nawaza naishia kusema "mungu wewe ndo wajua" baada ya hilo ndo zinafata zileeee sifa nyingine. Pochiiiii babu!
Only one thing makes a girl horny- MONEY
Kwa hiyo ukiona wallet imejaa basi pichu inachafuka! Si ndiyo?Pesa, tukiona wallet imejaa tu hali inakuwa si nzuri maeneo fulani.............
Kwa hiyo ukiona wallet imejaa basi pichu inachafuka! Si ndiyo?