Huu ndo udhaifu wa wanawake

Huu ndo udhaifu wa wanawake

JF haieleweki unakuta mtu kaanzisha mada hoja lakini inapotezewa lakini sijaona upuuzi kama huu usichangiwe!
Remember always there're no stupid questions but silly answers!
 
Wanaume tuna udhaifu sana na maeneo haya ya wanawake; miguu mizuri, mapaja, tukiona chupi, ama wanawake wakikaa vibaya. Hali inakuwa si nzuri maeneo yetu fulani.

Je, Nanyi wanawake mnavutiwa na nini kwetu?

Ukiona amekaa vibaya mwambie akae vizuri, acha kuendekeza zinaa UKIMWI unaua.
 
Back
Top Bottom