Huu ndo msosi wetu !

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Ati huu ndo msosi wetu ! Hivi hapa watu watakuwa na afya ya kutosha kweli !
 
Attachments

  • MSOSI WETU.jpg
    MSOSI WETU.jpg
    26.4 KB · Views: 103
  • MSOSI WETU-2.jpg
    MSOSI WETU-2.jpg
    53.4 KB · Views: 353
  • MSOSI WETU-3.jpg
    MSOSI WETU-3.jpg
    27.5 KB · Views: 92
nashukuru hawa ndio ukiagiza nyama na ndizi moja mtu anauliza mbona unachezea mboga
 
CCM tu hao, astakafulilahi yaani na mwezi mtukufu wote huu unanionyesha kitimoto?
 
Ati huu ndo msosi wetu ! Hivi hapa watu watakuwa na afya ya kutosha kweli !

Lakini ukweli unabaki palepale kuwa hawa watu wanaokula vyakula hivi ndio wanaishi umri mrefu na wala hutowasikia wakiwa na mashinikizo ya damu kama sisi ambao kila siku lazima tupate kitimoto na kushushia na ze laga..
 
huyo aliyepika huo ugali alikuwa peke yake au amesaidiana na mwenzake? binafsi siwezi.
 
huyo aliyepika huo ugali alikuwa peke yake au amesaidiana na mwenzake? binafsi siwezi.

Asaidiwe na nani, kaugali kenyewe kadogo hivi? Sisy, Unafaa kuolewa pwani, Mza, Shy na Musoma huwezi dumu ndani
 
Hao jamaa naona kama wako site vile, hiyo meza na gypsum board, na huyo ambae mguu wake unaonekana na ndala una vumbi la cement.UGALI UNA CRACK! SI MCHEZO, UKIMEZA SHARTI UTOE CHOZI. NIMATAMANI HAYO MAHINDI YA KUCHOMA KWA CHAI YA MAZIWA.
 
Asaidiwe na nani, kaugali kenyewe kadogo hivi? Sisy, Unafaa kuolewa pwani, Mza, Shy na Musoma huwezi dumu ndani
duh hayo mateso ugali wate huo anapika mtu mmoja, mimi labda nipike kwa awamu tena hapo ntapika awamu tano ........... ntadumu tu mana itabidi nijitahidi ukizingatia mume nimempenda.
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Sipati picha baada ya kumaliza hizo Menu nini kinafuata mtu anapokwenda msalani!!
 
Back
Top Bottom