Huu ndiyo muonekano wa kijana wangu

Huu ndiyo muonekano wa kijana wangu

Sijui atakuelewa hapa!? Maana daaah, Mungu atunusuru na uzao wetu tu!
Sky Eclat
Muunganishe na huyu binti akusaidie kumbadili tabia..[emoji28]
Ndo keshapenda huyu mpe mtu wake wakabadilishane huko..
 
Sioni tatizo na ala sioni kwanini unasikitika.
Usiwasikilize hao wanaokejeli. Hao ndiyo wanaomuita Diamond Platinumz 'SIMBA" na hukaa kwenye mabenchi ya vibanda umiza kumshangilia Ronaldo na kumuita "Gaucho" mtakatifu.

Mioyoni mwao wanajua hao ndio vijana "wanaobandua" watoto wa kike siku hizi.
 
Unadhani huyo Mtoto hajakuzwa katika sheria na dini nzuri?
Huyu dada Sky anaonekana ni mtu wa dini na maadili mema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wapi nimesema hajakuzwa na maadili mema? Alafu huko kwa kina SKY na mwanaye mtu over 18 hapangiwi uhuru wake ukizingatia SKy ni mtetezi mzuri wa haki za binadamu na demokrasia.
 
U karibu na baba yake wako karibu sana, tatizo lilitokea tulimpeleka boarding akiwa na miaka 10 huu ndiyo muda tulikuwa mbali nae.
Tulistuka tuliposikia Jumapili watoto wanaulizwa wanaotaka kwenda kanisani. Mtoto wa miaka 10-12 utamuuliza kama anataka kwenda kanisani! Ndipo tulimtoa baada ya kumaliza mitihani ya kidato cha nne.
Pole Sana , mie pia Nina boys, katika vitu sifikirii kabisa ni hilo la kuwapeleka shule za boarding. nimesema na boarding kuanzia pre form one to form four then A level nilisoma hostel then boarding, sidhani Kama toddlers wana uwezo wa kuvumilia challenges za kule hasa kutoka kwa watoto bandits,

Kupata mtoto wa kiume Ni kitu kimoja , lkn kufanya mtoto awe mwanaume anayekielewa ni kitu kingine kabisa , Ni rahisi Sana mtoto wa kiume kuwa jambazi , shoga au mvuta bange,
Mission yangu ni kuwalea mwenyewe ili Kama ni kuharibika, kwanza nione wanavyoharibika na pili sitaki kumlaumu mtu .

Sent
 
Ni kwamba mlikua busy kiasi gani moaka umpeleke boarding mtoto wa miaka kumi

I understand there might be some challanges beyond your control lakini sio to the extent ya kumtupa mtoto wa 10 yrs boarding kwa sababu age hiyo ndio ya msingi wa malezi na usimamizi wa mtoto, ukishakosea hapo basi umetengeneza kiumbe cha ajabu

By the way malezi ya hiyo shule yapoje maana i am suprised shule inayoruhusu watoto kutoboa pua tena wa kiume, ni hatari sana

All in all hujachelewa, jaribu kumstudy and find a positive way ya kuongea nae, its not an instant process

It might take time but may work perfectly
U karibu na baba yake wako karibu sana, tatizo lilitokea tulimpeleka boarding akiwa na miaka 10 huu ndiyo muda tulikuwa mbali nae.
Tulistuka tuliposikia Jumapili watoto wanaulizwa wanaotaka kwenda kanisani. Mtoto wa miaka 10-12 utamuuliza kama anataka kwenda kanisani! Ndipo tulimtoa baada ya kumaliza mitihani ya kidato cha nne.
 
Ni kwamba mlikua busy kiasi gani moaka umpeleke boarding mtoto wa miaka kumi

I understand there might be some challanges beyond your control lakini sio to the extent ya kumtupa mtoto wa 10 yrs boarding kwa sababu age hiyo ndio ya msingi wa malezi na usimamizi wa mtoto, ukishakosea hapo basi umetengeneza kiumbe cha ajabu

By the way malezi ya hiyo shule yapoje maana i am suprised shule inayoruhusu watoto kutoboa pua tena wa kiume, ni hatari sana

All in all hujachelewa, jaribu kumstudy and find a positive way ya kuongea nae, its not an instant process

It might take time but may work perfectly
Shule ilituvutia sana, wanafanya mtihani wa Cambridge, na tulijinyima sana kwa ada yake.
 
Gaborone Botswana.
Kama ni gabs usimlaumu Sana , kule vitu Kama kusuka na kutoga masikio na pua ni normal,
Jilaumu tu kuwa ulimpeleka ku deal na desturi ambazo zime deviate Sana na maisha ya huku kwetu kwa mtogole
Botwana kusuka kutoga masikio hata wakurugenzi wa makampuni yenye majina wapo na sio kesi kwa jamii

Sent
 
Ni mwanafunzi wa chuo kikuu
Academically yupo hot, au amepoa? Kama yupo fit academically usiumize kichwa , take that guarantee from me , Ila Kama ameyumba chukua hatua

Sent
 
Academically yupo hot, au amepoa? Kama yupo fit academically usiumize kichwa , take that guarantee from me , Ila Kama ameyumba chukua hatua

Sent
Ana akili ni fire, hajawahi kurudia mtihani.
 
Kama ni u boyzini ndio kayafanyia hayo basi hatuna kijana wa kiume tena[emoji32][emoji32][emoji124][emoji124]
Kwa Botswana hiyo siyo kesi , nawajua wakuu kadhaa kwenye kampuni zenye mafanikio huko kabisa , ambao wametoga masikio na hereni , wengine wanasuka kabisa

Sent
 
Kama ni gabs usimlaumu Sana , kule vitu Kama kusuka na kutoga masikio na pua ni normal,
Jilaumu tu kuwa ulimpeleka ku deal na desturi ambazo zime deviate Sana na maisha ya huku kwetu kwa mtogole
Botwana kusuka kutoga masikio hata wakurugenzi wa makampuni yenye majina wapo na sio kesi kwa jamii

Sent
Ni kweli mkuu

Kitu ambacho hua tunasahau ni kwamba, ukimpeleka mtoto kusoma nje, haendi tu kujifunza masomo ila pia anaenda kujifunza way of life ya hao atakaokua anaishi nao.

Na kama hivi umempeleka ana miaka 10 ina maana mpaka sasa zaidi ya nusu ya maisha yake ameishi huko kwahiyo kila kitu lazima ataiga huko.

Huyo nakushauri muache aendelee huko huko atafute na kazi huko maana akija huku atakua bonge la misfit kwenye jamii kitu ambacho kinaweza kumpa stress maana kwanza kila mtu atakua anamshangaa.
 
Back
Top Bottom