Huu ndiyo muonekano wa kijana wangu

Huu ndiyo muonekano wa kijana wangu

He is very clever , he has never had a sup at uni.it’s only his dress code I don’t agree with.
If that is the case , usiumize kichwa , Kama ana Excell academically, sioni shida , dogo anakulia mazingira ya Botswana, na trust me hawezi kuchangamana na average ya kundi la vijana hapa bongo

Sent
 
Hapa kuna la kujifunza umagharibi sio mzuri kabsa

Biblia inasema
Injili ya mtoto n fimbo & pia usimnyime mtoto ...
 
Hapa kuna la kujifunza umagharibi sio mzuri kabsa

Biblia inasema
Injili ya mtoto n fimbo & pia usimnyime mtoto ...
Kwa botwana sio umagharibi , Kuna freedom of choice na watu wanaheshimu hilo, provided you don't go red.
Huku kwetu hatuna kawaida ya kuheshimu Uhuru wa mtu na ndio sababu vitu vingi vinafaywa chini chini by the time kipo hadharani tayari ni beyond repair .
Mashoga ni wachache Sana gabarone na Francis towns combined kuliko unguja alone.

Je, huo ndo utamaduni wa kiafrika?
Kuvaa sijui n vipuri cjui hereni puani??
Kama sio kwann useme sio umagharibi???
Hajasoma uk na us sawa, ila teknolojia imemfikisha huko kitambo
 
He is very clever , he has never had a sup at uni.it’s only his dress code I don’t agree with.
Teenagers are well known for making stupid decisions.

I totally get what you're feeling and of course you are allowed to be disappointed by his choice. I would be sad too if my son got a tattoo, or his ears and nose pierced as a teen.

But try not to worry too much for now. What's done is done. Just continue to be there and advise him. Just be there for him.
 
Teenagers are well known for making stupid decisions.

I totally get what you're feeling and ofcourse you are allowed to be disappointed by his choice. I would be sad either if my son got a tattoo, or his ears and nose pierced as a teen.

But try not to worry too much for now. What's done is done. Just continue to be there and advise him. Just be there for him.
🙏🏾
 
Duuh kweli kwenye wanaume kuna wanaume
Cc Jurjani

Umesema kweli kabisa, wengine hujua ya kuwa wanaume ni kumuingilia mwanamke tu, wana sahau pia uwanaume ni kujitofautisha na mwanamke kwa hali yoyote ile,mpaka kutumia maneno ambayo huwa wanapenda kuyatumia wanawake,unatakiwa usiyatumie.

Sasa unakuta kijana ana vaa vipuri, vipini na mengineyo miongoni mwa mapambo ya wanawake, wakati tunajua kabisa katika ulimwengu wa ustaarabu hayo ni mapambo ya wanawake.

Kwa leo inatosha. Shukrani kwa wito.

"400kV Tapped"
 
Kuzaa Si Kazi
Kazi Kulea Mwana,
Hapo Mtampeleka Kwenye Maombi Ila Mungu Tunampa Kazi Sana
 
Wazazi tuna kazi sana,unamlea mtoto wako kwa maadili mazuri kabisa,lakini anafikia umri akishajiona amekuwa anaanza tabia ambazo ni tofauti na wewe ulivyotarajia awe,yaani inaumiza sana,ni kuendelea kumuombea Mungu ili abadilike kwani nina uhakika kabisa kuwa sio peke yako Sky Eclat unaekutana na kadhia kama hizi...
Hahahahah mtoto hawezi kuwa na tabia za kichoko kama hamjampa uhuru wa namna hio.
 
Back
Top Bottom