Huu ndio Uzuri wa TANZANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ndio Uzuri wa TANZANIA

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bujibuji, Oct 3, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,441
  Likes Received: 9,818
  Trophy Points: 280
  Kipofu kampiga mtu mpaka kamuua, akafikishwa mahakamani;

  HAKIMU: Kwanini umefanya ukatili namna hii

  KIPOFU: Mheshimiwa marehemu alisema mwenyewe,'Ukinipiga utaona', kwa vile nilikuwa na hamu kubwa ya kuweza kuona, nikajitahidi kumpiga sana ILI nipone, bahati mbaya kafariki.

  [​IMG]
   
 2. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Picha nzuri sana. Ninawapenda sana twiga na pundamilia.
   
 3. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,395
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hivi unatakiwa kufuata utaratibu gani kwa mamlaka husika ili uwe na kibali cha kuwafuga hawa wanyama binafsi
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mbona ni rahisi tu, hata kwenye ndege wanaweza kupandishwa na ukaletewa hadi nyumbani, NI WEWE TU!
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,815
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Hii nchi hamna lisilowezekana ukiwa na pesa.
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,816
  Likes Received: 5,046
  Trophy Points: 280
  Tanzania hakuna lisilowezekana ni hela yako tu tena ukienda pale posta fasta utampata huyo mnyama na kibaali

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 7. M

  Mmeku Tukulu Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasiliana na Idara ya Wanyamapori taratibu za kukamata,kusafirisha na kufuga wanyamapori zipo wazi. Maeneo mbalimbali ya Tanzania wapo wananchi wakifuata taratibu hizo na wamefanikiwa kufuga wanyama wawapendao. Taratibu zinapokiukwa kwa kujinufaisha hilo ni jambo lingine ambalo wahusika wanapaswa kuadabishwa kwa mujibu wa sheria zilizopo.
   
 8. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,663
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Duuuuh BUJIBUJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!
   
 9. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wanapanda ndege kwenda ulaya bila nauli alafu hawarud tena
  this is my countr tanzania
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,441
  Likes Received: 9,818
  Trophy Points: 280
  Uozo kuanzia juu hadi chini, je ni nani wa kuliokoa taifa?
   
 11. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,606
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo hao ndo nilipe kwenye mahari yako?
   
 12. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mbona umechelewa sana? Mwenzio alilipa hao akaongeza tembo 2 na wale wanaotolewa na wasukuma walikuwa wengi tu.
   
 13. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,606
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Basi kwenu ni nouma, je wizara husika inajua kwamba kwenu kuna nyara?
   
 14. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nini wizara kujua? Tuna leseni na kitalu kabisa cha kuwatunza na kuwawinda.
   
 15. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 9,098
  Likes Received: 4,550
  Trophy Points: 280
  Kuna wakati itakulazimu kufunga safari kwenda Qatar kuwaona hawa wa hapa kwetu wakishauzwa wakaisha
   
 16. Root

  Root JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,816
  Likes Received: 5,046
  Trophy Points: 280
  Wanapigwa dawa ya usingizi haoooooo tena bila passport twasafiri aiseee

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 17. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Lets hope hawata thubutu kuwauza tena.
   
 18. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,606
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duh! Mpe mzee :poa.
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,441
  Likes Received: 9,818
  Trophy Points: 280
  wakipigwa dawa ya usingizi watawaagaje wenzao?
  ni lazima wasafirishwe wakiwa wazima, ili wawatamanishe wenzao waobaki ili nao walilie kupelekwa nje
   
 20. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Tena ni kwa kutumia ndege ya 'baba riz1'lol
   
Loading...