Huu ndio utamu wa kilaji

Jamani jamani, mlevi hamwagi pombe yake kwa gharama yeyote, hata kama itamghalimu uhai wake.
 
wakati kichwa chake kimekita chini, pombe iko salama juu juu.
 
Kitu kiasi ni muhimu! Ukipitiliza iwe chakula, utajiri, elimu, unene, wembamba uchafu n.k. vyovote vile utapata madhara makubwa.
 
Bora afe lakini sio kumwaga pombe mlevi nouma.
 
Huyu akikuta kitu chenye mfano wa ute wa Yai kwenye Mkalio hatarudia!

 
Raha yake nikwamba asubuhi hukumbuki kitu zaidi ya kuhadithiwa na kuuguza majeraha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…