Acha vitisho wewe sheikh Mwaipopo.Watch your mouth! Seriously watch your mouth!
Najua hamtupendi Waislam.
Hili tunalijua.
Na hili la kusema "Wazanzibari Wazanzibari" ni pazia la kuficha chuki zenu dhidi ya Waislam.
Ila kuwa makini mno na upunguze mihemko.
Subirini amalize Mama Samia, kama mnataka mwenzenu aje kutawala, In Shaa Allah.
Hii ni Nchi yetu sote Waislam na nyinyi msio Waislam.
Hatutaki machafuko.
Na ukome kutishia Waislam genocide kama ya Rwanda ambayo watu waliuawa mpaka ndani ya kanisa (Katoliki). Watch your mouth! Nakuonya tena ukome!
Ninamuomba Allah Aikate mizizi yenu nyinyi watu waovu mno msioitakia mema Tanzania kwa sababu ya chuki zenu tu za kidini.
Wewe ndio muovu. StupidNyinyi ni watu waovu mno
Hatutishii nyau, tukisema kiwake na kiwake ilikuwaje mlijifungia ndani nanenaneAcha vitisho wewe sheikh Mwaipopo.
Acha uwongo.Hakugomewa sababu ya dini yake wala asili yake, yeye alikuja kwenye kinyang'anyiro baadae nchi imeshabadilika na alikuta na watu wenye mchezo mchafu, akaona hayo sio maisha yake aingiie kwenye huo mchezo wa uadui na chuki, akamua kukaa pembeni
Nyerere alikuwa yuko tayari kumfanya Waziri Mkuu ili baadae amuachie nchi kabisa, alisha wahi kuwa Waziri Mkuu akaomba aaiche kwa kuwa alikuwa na maono ya kuwa Katibu wa UN
Hivi ndivyo vigezo vya kuujua uraia wako japo CCM huvipindisha.Kama vigezo vyenyewe ndio hivi vya yeye ni nani na anatokea wapi, basi tuna safari ndefu sana.
Huyu aliyopo kwenye video ni Mrundi toleo la mwishoAnasema, Ni mzanzibari na wala si Mtanganyika wa Dodoma, and therefore si Mgogo according to this information from this chap!
With this information if true, ana sifa za kuwa na nafasi aliyopewa
View attachment 3659270
THERE WAS NO INFORMATION, NOW INFORMATION IS AVAILABLE....JINAI HUWA HAIFIPunguzeni shobo mbona hamkuhoji kipindi ni mbunge na waziri.
Kuna dhambi gani ilimradi kaingia harusini holini kwa kadi kaketi viti vya waalikwa.
Baadae kakaribishwa meza kuu na mwenyekiti wa kamati mnahoji nini?
Kwa mtindo huu siku Hussein Bashe na Kinana wakiwania meza kuu mtahoji uraia wao sababu wamekaa kisomali.
Japo ni watanzania.
Kwahiyo huyu ndio anachukua nafasi ya iliyo achwa wazi Recho dangwa?hawa wadada wako mbele ya mudaAnasema, Ni mzanzibari na wala si Mtanganyika wa Dodoma, and therefore si Mgogo according to this information from this chap!
With this information if true, ana sifa za kuwa na nafasi aliyopewa
View attachment 3659270
Yule aliyetumwa na altare ameshapigwa chini so makadirio na maombolezo hayatawasaidia Kwa sasa.Anasema, Ni mzanzibari na wala si Mtanganyika wa Dodoma, and therefore si Mgogo according to this information from this chap!
With this information if true, ana sifa za kuwa na nafasi aliyopewa
View attachment 3659270
Wivu ,chuki na kuumbuka Kwa njamaPunguzeni shobo mbona hamkuhoji kipindi ni mbunge na waziri.
Kuna dhambi gani ilimradi kaingia harusini holini kwa kadi kaketi viti vya waalikwa.
Baadae kakaribishwa meza kuu na mwenyekiti wa kamati mnahoji nini?
Kwa mtindo huu siku Hussein Bashe na Kinana wakiwania meza kuu mtahoji uraia wao sababu wamekaa kisomali.
Japo ni watanzania.
Kabadili KatibaKikubwa awe mtanganyika mwenzetu😃😃