Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Hiyo kule kwetu ilikuwa hairuhusiwi kupigwa kama hamna uhakika wa mbege japo debe sita. Radio kaseti aina ya LASONIC ndio ilikuwa inautoa vizuri. Ili burudani inoge betri ya gari ndio ilikuwa chanzo cha eneji kwenye hii radio.Kikuku kinanukiaaaaaax2.....Yekeyeke kua yekeyeke (More kante).
Nani alishawahi kuvaa viatu vya omega (made in kenya)? Vilikua vya plastic ila kama vya ngozi veusi, tuliviita mwisho saa sita.