HUU NDIO URAFIKI WA KWELI!...muoneni x-pin na hommie wake kaizer enzi zao kule MKUU

Chukua, chukua, mambo baadoooooooooooooooo
mambo badooooooooooooooooooooooo

mambo bado kwa wapwaaaaaaaaaaaaa
MAMBOOO BAAAAAAAAAAAADOOOOOOOOOOOOO
magoma mootooo yeeeeeeeeeeeeee
mambo baaaaaddooooooooooooooooooooooooo
 
Enzi hizo ukipiga picha bila kuonyesha dole gumba picha ilikuwa haitoki. Dah! Maskini kipindi hicho tayari nlishacheza mchezo wa baba na mama. Hapo bikra kwisha habari yake.
hehee ulikuwa ukipiga bila kuonesha dole gumba unaonekana wakuja,ndo mana unamuona huyo mshikaji wenu huko nyuma kahakikisha hata kama sura yake haionekani lkn kainua mkono ili dole lake litokee.
..enzi hizo tukijipikilisha mara unashangaa limetokea kundi kama hilo lenu wanaiba kikopo cha chakula wanagombea chote kisha wanawatupia kikopo halafu haoo,au wakiwa wababe zaidi wanawalamba na makonzi juu.lol
 
Enzi hizo ndio kale kaugonjwa ketu ndio kalikuwa kanaingia. Basi ukitinga Juliana watu wanajua tayari umeshakanyaga adui wa Kakobe.

hhaaaaaaaaaa biggy am sorry lol ngoja kwanza nicheke afu nikugongeee

uwiiii am dying here.......
 
Lakini nyie mnaongelea miaka gani mbona miaka yetu ya sabini sijaona yote haya
Watoto wadogo wanaanza kujitokeza.
Miaka ya sabini wenzako tulidumisha mila siku nyiiiiiingi!
Hapa tunazungumzia miaka ya 60. BTW How old are you FL1?
 
hehee ulikuwa ukipiga bila kuonesha dole gumba unaonekana wakuja,ndo mana unamuona huyo mshikaji wenu huko nyuma kahakikisha hata kama sura yake haionekani lkn kainua mkono ili dole lake litokee.
..enzi hizo tukijipikilisha mara unashangaa limetokea kundi kama hilo lenu wanaiba kikopo cha chakula wanagombea chote kisha wanawatupia kikopo halafu haoo,au wakiwa wababe zaidi wanawalamba na makonzi juu.lol
Malizia kabisa na yale mambo ya kudumisha mila........mbona unakwepesha vitu muhimu?
 
Usinione ***** kalubandika eeeh kwa kukubali wito wako Kalubandika eeeeh hayo ni matatizo ya dunia mamaaaa
nilitaka kujitumbukiza kwenye Mtambo wa TBL mie kumbe bwana yule hana kitanda wala shuka pa kulala hana analala kwenye kituo cha Uda ....
 
Malizia kabisa na yale mambo ya kudumisha mila........mbona unakwepesha vitu muhimu?
hehee hapo walikuwa wakijaribu lazima ukimbie kwa maza ukaseme,tatizo ilikuwa ni jinsi yakumueleza maza hivyo unabakia tu mamaa yule naniliu eti kaniambia nanihii.maza akimuuliza unasikia muongo huyo huku unakatwa jicho la utanikoma ukitumwa dukani.lol
 
881818 said:
The Following User Says Thank You to Geoff For This Useful Post:

klorokwini (Today)

mareliaaaaaa kwaheeriii eeeh
kwaheri kwaheri nakutakia kifoo chemaaaa
kwaherii kwaheeriii
urudi kwenu nyumbaniiii
kwaheri kwaheriii eeeeh
 
hehee hapo walikuwa wakijaribu lazima ukimbie kwa maza ukaseme,tatizo ilikuwa ni jinsi yakumueleza maza hivyo unabakia tu mamaa yule naniliu eti kaniambia nanihii.maza akimuuliza unasikia muongo huyo huku unakatwa jicho la utanikoma ukitumwa dukani.lol
Si mpaka ufanikiwe kuchomoka? Usipofanikiwa kitu gani kilikuwa kinatokea? Sema tu usiogope....
 
Maumivu ya kichwa huanza poooolepole.
Logistics ni kama maumivu ya kichwa. Soma katikati ya mistari na hapo hommie.
........hehehehe!dah dah dah dah!hahahahaha!nimesoma na nimeelewa vyema

B siku hizi watu wanasoma katikati ya nanihiiiii, muulize Goeff ndo anajua
hii lugha ya kati kati ya mistari tahakikisha watu wachache sana mnaijua!CHIPOLOPOLO ITABIDI WASIIJUE..!(siri ya jeshi)
 
Si mpaka ufanikiwe kuchomoka? Usipofanikiwa kitu gani kilikuwa kinatokea? Sema tu usiogope....

kuchomoka ilikuwa lazima hata kwa kung'ata na meno au kupiga kyeleuwi maana usipochomoka halafu maza akisikia ulionekana vichani sijui na kina xpin
na mahomuboi zake hivyo viboko vyake hutaweza kukaa mwezi mzima!
mama yetu alikuwa mkali kama simba jike,siku moja alikuja mtoto wa ndugu akamdanganya maza kuwa eti kaniona nikidumisha mila nililia hadi nikazimia maana nilijua maza ataniua!lol
 
Back
Top Bottom