Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
kama we ni masikini ni masikini tu, Utajiri wa babu haukuhusu nyau wewenilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI