Huu ndio ukweli!!

Huu ndio ukweli!!

mngejua tulipotoka na hao waume!! at the end amewin unapewa taarifa na wifi , mume kaoa mombasaa!!! khaaaaaaa! utasema nilipendea pochi kweli??? lol!
 
mngejua tulipotoka na hao waume!! at the end amewin unapewa taarifa na wifi , mume kaoa mombasaa!!! khaaaaaaa! utasema nilipendea pochi kweli??? lol!

Na nyie wanawake takriban 3/4 (three quator) ni Baba mmoja & Mama mmoja!
Katika yale ya kimsingi mnafanana ! Sijui kwanini !
Nway miamko ikoje?
Mida ya chai hii , kama sikosei ndo unakandamiza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom