Huu ndio ukweli!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Wanaume tuna mapenzi ya kweli lakini wanawake mnaangalia pochi kwanza!!. Loh!.
 
Mapenzi ya kweli ni ngumu kuizungumzia, watu wana vigezo tofauti tofauti katika mapenzi yao.
 
Wanaume tuna mapenzi ya kweli lakini wanawake mnaangalia pochi kwanza!!. Loh!.

Weweee, acha kuusemea moyo, Ishu siyo mwanaume au mwanamke, ishu ni uaminifu wa mtu mmoja mmoja regardless ya gender yake! Hata sisi wanaume hatuna utulivu hata kidogo ...:sleepy:

Wakati wanawake wanaangalia pochi, sisi wanaume tunavutiwa na kutamani maumbo yao, sura nk. Tukiweka hizo tamaa kuna mapenzi hapo? Kwa nini tunaoa mwanamke zaidi ya mmoja? Why nyumba ndogo kama tuna mapenzi ya kweli?
 
Unajua wanawake wanaolewa kwenye nyumba ngapi!!.
 
Nisingependa kulijua hilo kwa undani, ila nililotaka ulifahamu ni kuwa gender haihusiani na tabia ya mtu! Tabia itabaki kuwa ni tabia!

We hushawahi kupenda mwanamke kwasababu ya pochi yake!!!.
 
Unawasemea wanaume wenzako kwa vigezo vipi??kutamani hipsi, sura, wowowo na mguu wa beer ndo unakokuita kupenda kweli??somebody come and take me away please!:flypig:
 
I'm really simple. I need wowowo,hipsi, mat1t1 yaliyotuna, pia uwe na sura ya kuringishia kwa ndugu.
 
mapenz ya kweli yanaexit only if other factors zikiwa constant....meaning kwamba unampenda mke wako kwa dhati kuliko nyumba ndogo pamoja na uwepo wa hiyo nyumba ndogo....over:flypig: vice verser applicable,....
 
Kwa kifupi mapenzi yakiwa ya kishetani hapo utulivu kwa mmoja au kwa wanandoa wote unakuwa sifuri. Bali ukiwa ni wa kiMungu, hapo kunakuwepo na utulivu wa kutosha.
Kila dhambi aifanyayo mtu ni nje ya mwili wake, lakini dhambi ya uzinzi hiyo ni ndani ya mwili wa mtu.
 
mkuu hivi kweli unaongelea kwa kua yamekukuta au ni ushabiki? umewah kuona wanawake wangap wanaolewa kwa sababu ya pesa ukilinganisha na wanaume wanaooa kwa tamaa za uzuri wa mwanamke?
 
Ni bora kula chakula chini ya mti kuliko kwenye nyumba!
 
mkuu hivi kweli unaongelea kwa kua yamekukuta au ni ushabiki? umewah kuona wanawake wangap wanaolewa kwa sababu ya pesa ukilinganisha na wanaume wanaooa kwa tamaa za uzuri wa mwanamke?

Upo sawa kabisa, wanaume tunapenda kutokana na uzuri wa mwanamke. Ila nyie wanawake mtu awe mbaya, asiwe mbaya kwenu haijalishi, nyie mnatizama pochi tu!!.
 
BIG X hivi kuna mtu mbaya dunian? sijui manake nionavyo mimi kila mtu ni mzuri kulingana na yeye mwenyewe jinsi alivyoumbwa kwangu mimi ubaya uko kwenye roho ya mtu ambayo naweza sema anaroho mbaya ama la.

Mwanaume hata uwe mzuri kama na unang'aa kama lulu hauna maana yeyote kama huna akili ya kufanya maamuzi mazuri na ya busara. wanawake wanaopenda kwa dhati huwa wanaangalia social security na upendo basi ya hela comes next but nyie wenzetu mnashobokea mataka na ngozi nzuri sujui tabasamu weka ndani kimeo.

ambao nyie mtatuita wabaya titi kama nina tenda mewata la kunyonyesha jeshi, ****** kama nilianguka bafuni yakapigwa pasi, ngozi kama msafisha nia manispaa sijali hayo miye nawekeza kwenye utu wa ndani yaani uvumilivu,nidham heshima uwajibikaji, upendo na utunzaji wa mali. hivyo swala la uzuri wa sura hata mimi kwa mwanaume halinipi kuwaza hilo sili sura mkuu wala silalii sura ama pesa, hapa nalalilia yenyewe.pesa ya kula inatafutwa tu na inapatikana.
 
Well said wangu mtu personality kwanza
 
Back
Top Bottom