Huu ndio ukweli

Huu ndio ukweli

mind set ndio tatizo!!

Unalipia kinachopatikana bure eti nalipa kwasababu kule kinapatikana vizuri kuliko hapo !si upambane TU!!kayumba vs private zote zinatoa elimu inayofanana !tofuati ni mazingira tu! Unalipia mazingira halafu unasema elimu Bora!kumbe elim ni Ile Ile mazingira ndio tofauti!!

Tofauti ni wote wamepata ujinga wa kwenye makaratasi mmoja kaupata vizuri mwingine kaupata kwa kusua sua na ndio maana wote utawakuta kwenye ajira portal coz walichopata hakijawasaidia Hadi wawe watumwa kwa wengine ambao hat hiyo ajira portal labda haiwahusu!!

Mind set
 
Mtoa mada kuwa na adabu, mnaolewa na vivulana vilamba 👄 unafananisha na wanaume? Hakuna mwanaume anayeweza kukimbia majukumu yake. Pole kwa kuwekwa ndani na kivulana.
 
Ni vile tu watu hamtaki kujifunza. Toka zamani na zamani kwenye utamaduni wa Mwafrika kulea familia sio jukumu la mwanaume, hilo ni jukumu la mwanamke (mama).

Na ndio maana ni mwiko mwanaume wa Kiafrika aliyeoa kuingia jikoni na kupika, pia hata zamani wanaume walikuwa wanaoa wanawake wachapakazi wanaojua kulima ili tu wakawalimie mashamba yao.

Kiufupi wanaume wao walikuwa na bado wanatafuta wake wakwenda kuwalea.

Jiulize kwanini mwanaume wa kiafrika anaoa mwanamke ambaye kiumri ni mdogo kwqke ni ili tu anavyoendelea kuzeeka na kupoteza nguvu awe na uhakika wakulelewa.

Ni kweli familia nyingi za kiafrika wanawake ndio walezi wakuu na hata mtoto akiwa na tabia mbaya shida ni mama, baba akiwa anaugua au ana afya dhaifu shida ni mama, ila mwanamke akiwa na afya dhaifu au akiwa anaugua shida ni yeye au wake wenza wamemloga.
And somehow when a woman decides she doesn't want this sort of baggage in her life these baggages look for every way to guilt her into it.

Wanaume wa kiafrika ndo wanaongoza kulilia ndoa na ku shame wanawake wasiotaka hizi arrangements.

By the way this is NOT my God's plan for a marriage. God's idea for marriage was excellent!
 
Pesa,elimu ,Madaraka na title ni hatali sana.

Pesa- mtu mwenye pesa anata afanyiwe kila kitu hata kulima uwanja WA nyumba yake hawezi .
Elimu- mtu mwenye elimu na akawa na pesa ya vocha na dagaa hata chupi hajui inapotunzwa nk

Hii mifumo inatengenezwa makusudi .

Ni kweli inaskikitisha sana , Tafakari.......chukua hatua
 
Huu ndio ukweli asilimia 100% wamama ndio watunzaji wawatoto kwenye familia.
Wababa wao kazi zao kubwa nikuwapiga watoto na mama na kukimbilia kwa michepuko kuwahudumia .

Halafu wanaume wengi kutoa zamani wanapenda kutunzwa sana tu mwanamke anaamka asubuhi anaenda kutafuta chochote kitu ili atunze watoto na mume wake .

Zamani baadhi ya wanaume walikuwa wanatunza familia zao ila kwa sasa no more wanaume hawapo katika position zao kama mwanaume.

Mtu kaajiriwa au ni mfanya biashara ila hujui anapeleka wapi pesa zote.
Hanunui hata maji tu apeleke nyumbani hapana.
Ila anaulizia chakula nakupiga watoto.

Anakuja juu akiombwa ada za watoto, pesa ya matumizi ,uniforms na kila kitu kinachohusu mama yake mzazi mke wake na watoto inasikitisha.

Mtu tajiri anapelekwa ustawi wa jamii ili alee familia yake.
Kinyume chake ndio UKWELi


Sema wanaume kwenye Familia hatuthaminiki kabisa kabisa wakat hata suruali tu naweza pitisha mwaka sijanunua ili Familia isome ile inye ivae bills ujenzi na kila kitu ni Mimi
 
Back
Top Bottom