Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanaogopa kusema

Kuna mda ukiangalia mambo yanavyoenda hapa duniani unaweza ukafika mahali uka conclude kwamba maisha hayana maana yoyote.

  • watu wema ndio wanaoongoza kwa kupatwa na majanga
  • watu wema ndio hutangulia kufa mapema
  • watu wabaya/katili/dhulumati ndio matajiri
  • kila mtu (mwema au mbaya) anaweza kupatwa na jambo lolote (jema au baya) mda wowote
 
Duuh kweli mkuu bado unaishi nyuma ya muda!! Mtafute Mtu aliyeiva kiroho umuulize hilo swali naamini Utaelimika Zaidi.
Huo ndio ukweli hauna ushahidi kwamba unatakaswa na dhambi, kwa hiyo mtu akifa hajabatizwa anakuwa amekufa na dhambi
 
HUU NDIO UKWELI AMBAO WATU WENGI WANAOGOPA KUSEMA.

Leo Ijumaa Kuu kwetu wakristo tunaiita ni siku ya kumbukizi ya Mateso kwa mwana wa Mungu.
Nami nimeona sio vibaya niseme maneno ambayo baadhi ya watu wanaogopa hata kuyasikia.

Lengo langu sio kuhimiza uasi wala ubaya ila napenda kusema ingependeza kila mtu aishi katika kile anachokiamini.

Lengo la maandiko yangu ni kuhimiza watu waache maigizo katika maisha yamkini wayafuate yale ambayo nafsi na mioyo yao inawasukuma kufanya pasipo kuwa na maigizo.

Kama unajijua wewe ni mtenda Mema basi ishi katika kutenda wema kila siku, kila dakika na kila saa, Tenda wema usiokusudia malipo.

Na kama wewe ni mtenda ubaya ishi katika ubaya, ishi katika visasi, ishi katika uovu ishi katika dhuluma, ishi katika ubinafsi uliotukuka! Acha kufanya maigizo ya kutenda wema fanya kile ambacho kinakupa furaha.

Lengo la kuyasema haya ni kukufungulia pasword ambayo Dunia ya mwanadam imemficha kumwambia ukweli.

1. HAKUNA SIKU ASILI ITAKULIPA JEMA KWA WEMA.

2. HAKUNA SIKU ASILI ITAKULIPA BAYA KWA UBAYA.

Hapa namaanisha kwamba kila jambo linalotokea katika maisha yako jua lilikuwepo katika mtililiko wa maisha yako.

Hakuna jambo litawahi kukutokea katika maisha yako kama matokeo ya Wema uliotenda au ubaya uliotenda.

Isipokuwa tu! Matokeo haya yanaweza kuonekana iwapo Ulimwengu utachukua hukumu ya matendo yako mfano ukitenda ubaya unaweza kushtakiwa kwa mjibu wa sheria za nchi uliyopo na ukaadhibika,

Vilevile ukitenda wema unaweza kulipwa wema na uliemtendea au mashahidi walioshuhudia wema wako.

Lakini tofauti na hapo Asili ya Dunia haijawai wala haitowahi ku repay chochote ulichowahi kufanya.

Wapo wengi wanaopitia mapito flani hadi mioyoni wanaanza kujihukujum kuwa pengine ni kwa sababu niliwahi kufanya kitu flani katika maisha ndio maana napitia haya... "Sio kweli"

Amini unachokipitia kilipaswa kikupitie ni mda wa wewe kupambana namna ya kujiokoa ila sio kukumbuka mapito yako.

Pia ukipata baraka amini ilipangwa utaipata isifikie mda ukaamini umebarikiwa kwa sababu ulijitoa kufanya jambo flani.. "sio kweli"

Sababu kuu ni kwamba wapo waliowahi kufanya wema au mazuri zaidi ya hilo ulilofanya wewe na hawajapata neema kama hiyo uliyopata wewe.

Pia wapo waliotenda maovu zaidi ya hayo yanayokusuta wewe hadi ukashindwa kusonga mbele ila bado wapo katika mstari ulionyooka na hakuna baya lolote lililowasibu na bado wanaishi vzuri sana.

Lengo langu sio kukufundisha wewe kutenda mabaya au kutenda wema.. no" Natamani tuwe na uwezo wa kuishi na kuitawala Dunia katika maisha yale yanayotupendeza wenyewe na sio kutawaliwa kifikra.
Je watu waliofanya dhuluma za mali za watu kisha wakaja kuingiliwa na majambazi na kuuawa kwa dhulumati inakuwaje?
 
Ishi na Uelewa wako Mkuu. Samaki Mkunje Angali Mbichi
Hata mm pia ni samaki ninahitaji kukunjwa angali mbichi lkn huwezi nkunja mpk univue.So ili univue lazm utege chambo, nshawishike na chambo,nifuate chambo, niimeze chambo kwa kuwa mm ni samaki mkubwa aina ya papa sivuliki kiurahisi kama dagaa inahtajika tuanze kushindana nguvu either unitoe nchi kavu au nikuingize baharini.Refer to debate law for more meaning
 
HUU NDIO UKWELI AMBAO WATU WENGI WANAOGOPA KUSEMA.

Leo Ijumaa Kuu kwetu wakristo tunaiita ni siku ya kumbukizi ya Mateso kwa mwana wa Mungu.
Nami nimeona sio vibaya niseme maneno ambayo baadhi ya watu wanaogopa hata kuyasikia.

Lengo langu sio kuhimiza uasi wala ubaya ila napenda kusema ingependeza kila mtu aishi katika kile anachokiamini.

Lengo la maandiko yangu ni kuhimiza watu waache maigizo katika maisha yamkini wayafuate yale ambayo nafsi na mioyo yao inawasukuma kufanya pasipo kuwa na maigizo.

Kama unajijua wewe ni mtenda Mema basi ishi katika kutenda wema kila siku, kila dakika na kila saa, Tenda wema usiokusudia malipo.

Na kama wewe ni mtenda ubaya ishi katika ubaya, ishi katika visasi, ishi katika uovu ishi katika dhuluma, ishi katika ubinafsi uliotukuka! Acha kufanya maigizo ya kutenda wema fanya kile ambacho kinakupa furaha.

Lengo la kuyasema haya ni kukufungulia pasword ambayo Dunia ya mwanadam imemficha kumwambia ukweli.

1. HAKUNA SIKU ASILI ITAKULIPA JEMA KWA WEMA.

2. HAKUNA SIKU ASILI ITAKULIPA BAYA KWA UBAYA.

Hapa namaanisha kwamba kila jambo linalotokea katika maisha yako jua lilikuwepo katika mtililiko wa maisha yako.

Hakuna jambo litawahi kukutokea katika maisha yako kama matokeo ya Wema uliotenda au ubaya uliotenda.

Isipokuwa tu! Matokeo haya yanaweza kuonekana iwapo Ulimwengu utachukua hukumu ya matendo yako mfano ukitenda ubaya unaweza kushtakiwa kwa mjibu wa sheria za nchi uliyopo na ukaadhibika,

Vilevile ukitenda wema unaweza kulipwa wema na uliemtendea au mashahidi walioshuhudia wema wako.

Lakini tofauti na hapo Asili ya Dunia haijawai wala haitowahi ku repay chochote ulichowahi kufanya.

Wapo wengi wanaopitia mapito flani hadi mioyoni wanaanza kujihukujum kuwa pengine ni kwa sababu niliwahi kufanya kitu flani katika maisha ndio maana napitia haya... "Sio kweli"

Amini unachokipitia kilipaswa kikupitie ni mda wa wewe kupambana namna ya kujiokoa ila sio kukumbuka mapito yako.

Pia ukipata baraka amini ilipangwa utaipata isifikie mda ukaamini umebarikiwa kwa sababu ulijitoa kufanya jambo flani.. "sio kweli"

Sababu kuu ni kwamba wapo waliowahi kufanya wema au mazuri zaidi ya hilo ulilofanya wewe na hawajapata neema kama hiyo uliyopata wewe.

Pia wapo waliotenda maovu zaidi ya hayo yanayokusuta wewe hadi ukashindwa kusonga mbele ila bado wapo katika mstari ulionyooka na hakuna baya lolote lililowasibu na bado wanaishi vzuri sana.

Lengo langu sio kukufundisha wewe kutenda mabaya au kutenda wema.. no" Natamani tuwe na uwezo wa kuishi na kuitawala Dunia katika maisha yale yanayotupendeza wenyewe na sio kutawaliwa kifikra.
Nashindwa kukuelewa mkuu,wengi tujuavyo mtu utavuna ulichopanda, katika maisha yetu ndivyo ilivyo,na katika jamii yoyote watu uimizwa kufanya mema, ili wawe na matokeo chanya hapo baadae.
 
Ni sawa kabisa ukitenda wema kitakachokulipa ni wanadam wenye ushahidi na ulichofanya sio karma.
Sawa lkn karma yaweza tangulia,then matendo mema au mabaya ufata,kupitia hiyo karma,ambapo watu ushuhudia kwa yale uliyofanya,pia kumbuka si wote watashuudia moja kwa moja,wengine watasimuliwa na kuamini hivi ndivyo,alivofanya fulani miaka kadhaa iliyopita.
 
Je vip kuhusu watu wema ambao hawajadhulmu mtu waliowahi kuingiliwa na majambazi vilevile na wakaporwa na kuuwawa?

Scenarios zipo nyingi sana ,mimi nimeweka tu moja ya kwamba kuna wengine wanalipwa kwa UBAYA walioufanya.

Wengine ni uhalifu tu wa kawaida ,vijana wasio na kazi/wenye tamaa kujitafutia kipato kwa njia zisizo sahihi....Huyo msamalia mwema mali ndiyo zimeprompt majambazi kumuingilia eg Kifo cha Lucky Dube
 
Karma ni uongo na ili kulithibitisha hilo ninahitaji mtu anipe sheria za karma (karma laws), sio kifizikia nnamaansha utendaji kazi wa karma ambao hauvunjiki (always its result from effect become same as effect)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom