Huu ndio Uhuni

Huu ndio Uhuni

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
9,193
Reaction score
14,900
‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection
 
Ulitaka ajae wapi?
Soma comment hadi mwisho babuu.
Makonda amesha achia ukuu wa Mkoa aachie nyumba ya serikali. Yeye si ana sema ni mkazi wa Arusha na ana utaka ubunge wa jimbo la la Arusha?? Aende kwake..
Acheni uchawa!! Mkiitwa wahuni mna pinga. Makonda ana ishi nyumba ya serikali kama nani kwa sasa?? Simple and logic question ⁉️ I
 
Mambo ya wabongo!!

Makonda alilalamikiwa kwa kuishi hotelini na si Mongella kutokumpisha PM kwa wakati.

Leo halalamikiwi Kihongosi kufikia hotelini bali Makonda kutokumpisha Kihongosi!
 
Kwanini anakaa kwenye nyumba ya mkuu wa mkoa wakati ana nyumba binafsi hapo Arusha?

Huyo kijana wa Misungwi hana uchungu na rasilimali za taifa ila kwa kuwa SSH hamfahamu vizuri kwamba ni bingwa wa usanii kujifanya yuko pamoja na wewe kumbe ndio joka lenye sumu la Gamboshi linafanya mawindo ndani ya mto Simiyu
 
D
‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection
Duh 🙄 !
Hii ndio wanaita kula Nchi ??!
Kwakweli wanaila Nchi 😱😱 !
 
Mambo ya wabongo!!

Makonda alilalamikiwa kwa kuishi hotelini na si Mongella kutokumpisha PM kwa wakati.

Leo halalamikiwi Kihongosi kufikia hotelini bali Makonda kutokumpisha Kihongosi!
Kama hujui jambo uliza...
Makonda ali kaa sana hotel Grand Melia. Hadi watu walipo piga kelele aka hama. Sasa yuko nyumba ya serikali hataki kuhama Mteule wa Rais ana kaa hotelini kisa alie tenguliwa hataki kutoka kwenye nyumba ya umma. Kama ana urafiki na Kihongosi wakae wote sio kutumia rasilimali za nchi kwa interest za watu.
Na nyie chawa haya hamyakemei.. Ndio sababu mna itwa wahuni
 
‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection
#kataawahuni
 
Soma comment hadi mwisho babuu.
Makonda amesha achia ukuu wa Mkoa aachie nyumba ya serikali. Yeye si ana sema ni mkazi wa Arusha na ana utaka ubunge wa jimbo la la Arusha?? Aende kwake..
Acheni uchawa!! Mkiitwa wahuni mna pinga. Makonda ana ishi nyumba ya serikali kama nani kwa sasa?? Simple and logic question ⁉️ I
Yaani Viongozi wa Tanzania huangalia matumbo yao tu,wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa dawa halafu mtu amezuia nyumba na anajiita mkazi wa Arusha
Chawa wajinga watakuja kulitetea na hili
 
‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection
Sina hakika kama Mh Rais hayati Magufuli angeruhusu uhuni huu kufanyika!! Walahi asingeruhusu hii kitu!
 
Inawezekena analala kwa offer, kwa biashara hii ni kama kind of social capital investment.

Unampa mtu donations au huduma ya bure, atakuja kuwa msaada wako pale ukiwa na shida.

Hiyo hotel unategemea watakuja kusumbuliwa na halmashauri? Simu moja tu watapiga kwa mkuu na mambo yatanyooka
 
Kama hujui jambo uliza...
Makonda ali kaa sana hotel Grand Melia. Hadi watu walipo piga kelele aka hama. Sasa yuko nyumba ya serikali hataki kuhama Mteule wa Rais ana kaa hotelini kisa alie tenguliwa hataki kutoka kwenye nyumba ya umma. Kama ana urafiki na Kihongosi wakae wote sio kutumia rasilimali za nchi kwa interest za watu.
Na nyie chawa haya hamyakemei.. Ndio sababu mna itwa wahuni
Porojo tu hizi.

Makonda mwenye ukwasi wa kufikia Gran Melia ang'ang'anie kwenye hayo magofu ya serikali??
 
Acha unafiki na uongo wako wewe. Naona Mheshimiwa Makonda anawapa homa kali . Acheni kumchafua Mheshimiwa maana hamtaweza kufanikiwa.
 
‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection

Wa tz sisi , sasa mnaacha kupambania no Election mpo mnafatilia wanako lala .. jamani ???
 
‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection
Fanya yako mzee hayo ndiyo maisha yake yeye kama unaweza kalale na wewe acha kimbelembele kwani yeye ndiyo wa kwanza
 
Back
Top Bottom