sijui hata nimekupendea nini!Atakua hana huyo alitumia defence mechanism kukwambia uache bidhaa
Teh tehh embu fikiria alafu uniambie ni nn?sijui hata nimekupendea nini!
Kuwa mzalendo na uwariport watu kama hao. ndio wanao rudisha maendeleo ya nchi nyuma na kama sikosei huyo atakuwa ni muhindi.Wanajamvi, hivi wafanyabiashara wana muda maalum wa kutoa risiti za efd?
Wenye biashara na wazoefu, pia hata mamlaka husika inaweza kutusaidia kwenye hili!
Jambo lililonifanya nihoji hili ni kwamba nimekwenda dukani karikoo, mida ya saa 12:40 hivi jioni na kutaka kununua bidhaa flani!
Baada ya kuikagua hiyo bidhaa na kuridhika nayo nilianza mchakato wa kuilipia lakini nikamuhoji muuzaji pia kama anaweza kunipa risiti ya efd!
Ghafla yule muuzaji akanijibu kwa hasira kuwa ameshafunga mahesabu na kamwe hawezi kutoa mashine kwa ajili ya mtu mmoja tu na kwamba bidhaa niliyotaka kununua basi nisiinunue tena niiache!
Sasa je ni kwamba kweli kuna muda maalum wa kutoa hizo risiti?
Hii ishu imekaaje...
itakuwa ni komenti yako!Teh tehh embu fikiria alafu uniambie ni nn?
Hakutakiwa auze basi. Anatakiwa atume hio ripoti akiwa anafunga.Ni kweli akishatoa daily report hatakiwi ku punch tena kwa siku hiyo paka kesho yake. Yupo sahihi tu mdau. Ila sio kesi si ulienda ukanunua kwingine?
Mawazo haya yashapitwa na wakati sasa hivi.Ww unahitaji bidhaa au unahitaji receipt?
Fata kilichokupeleka hujui unavyong'ang'ania hivyo unazidi kukaza vyuma vya watu.?
Basi angenielekeza taratibu au angeniambia ameshafunga muda wa kuuza umeisha...Ni kweli akishatoa daily report hatakiwi ku punch tena kwa siku hiyo paka kesho yake. Yupo sahihi tu mdau. Ila sio kesi si ulienda ukanunua kwingine?
Nashukuruitakuwa ni komenti yako!