Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Iacheni hii familia ipumzike jamani, INATOSHA.
 
Fisadi namba moja ni yule alietajwa na slaa mwembe yanga,lakini pia alitajwa na lema,msigwa bila kumsahau dogo mnyika hapa ushahidi upo wazi kupitia watu hao,ila we mleta mada hakuna ushahidi wa ulichosema hapa,zaidi naona unafki tu.
HAPA NDIO PAKUSHANGAZA....SLAA ALIWATAJA WOTE, Kwanini wanajidai viziwi hawasikii, wamekazania MSOGA.
 
niah inawezekana ukawa unajua ukweli wa siasa za bongo ila ukaamua kuegemea upande fulani. Suala si chama kilichokufa chadema au CUF au ACT au NCCR, suala lililopo mbele yetu watanzania ni Tanzania kuondokana na umasikini. Wewe jiulize kwanza kabla ya Simba Trust, wapinzani wanaopinga chama tawala cha CCM kuwa madarakani wanalipi ktk kuchangia maendeleo ya nchi?? Je unalielewa kiundani suala la Escrow? Je nani yupo nyuma ya pazia ya EPA, IPTL? Je ni njia gani zinafaa kuchukuliwa ili kuondokana na rushwa, uzembe kazini? Je ni njia gani inafaa kufutwa ili kuboresha elimu yetu? Mimi na wewe inawezekana maisha yetu yapo murua (kie elimu pia na kikipato), je walioko vijijini na wasiokuwa na elimu ni nani anawatetea? Je chama mfu chadema wanawatetea au? Kwa sasa ni CCM na Dkt Magufuli tu ndiyo wanasema rushwa mwiko, uzembe mwiko, wanyonge na masikini lazima wapate haki yao. Kama upo Dar ile barabara ya Mwenge kila mtu anakubali kuwa ulikuwa uamuzi sahihi, lakini watu kama wewe mnajaribu kupotosha umma kuwa rais hafanyi kazi.

Tumuache Dkt Magufuli afanye kazi, kila jambo lina muda wake. Yeye ndiye amri jeshi mkuu, anajua kila kitu.
 
Watanzania nawakubali kwa kulalamika bila kuchukua hatua zozote yaani ni sawa na kubakwa huku ukijua kabisa unabakwa huku ukifurahia tendo,

Raha sana waacheni wawa fundishe jinsi ya kuishi!


Hawa Simba Trust hawajaletwa na CCM watu wafanye kazi!
Kabisa watu wafanye kazi tukusanye kodi tuwalipe IPTL milioni 400 kwa siku
 
HAPA NDIO PAKUSHANGAZA....SLAA ALIWATAJA WOTE, Kwanini wanajidai viziwi hawasikii, wamekazania MSOGA.
Bring back list of shame .......

Kama namuona hivi Dr slaa Canada anatucheka.............
 
Mudawote, unakosea unapomtaja Mr. Magufuli katika kujenga nchi! Kamwe hataweza mwenyewe, anahitaji nguvu ya umma. Umma ni mimi na wewe na wapinzani wote wapende wasipende. Nasema hivi sababu kwa wenzetu chama kikishinda kitaongoza lakini hakiwezi kuamua kufanya jambao bila wapinzani kushirikishwa na ndiyo maana ya kuwa na vyama vingi. Pili Nchi yeyote haiwezi kuendeshwa kwa tamko la mtu bali ni katiba ya nchi na sheria za nchi zinazoiongoza nchi. Kumbuka hakuna mpinzani ambaye halipi kodi ambazo ndizo zinajenga nchi. Kuna wanaCCM hawajui hata kulipa kodi ninini sababu wengi ni wale hawana ajira.
Dr. Anafanya kazi nzuri ila kuna wakati inabidi akae meza moja na wapinzani ili waone amefikia wapi na wamshauri wapi anabidi abadili gia na ndiyo maana ya upinzani. Kama si upinzani atungelijua hilli la ESCROW? Je kama unakumbuka hizi kashfa zote za ufisadi waibuaji ni nani? Uwe mkweli usiwe na upande kama ulivyoniambia mimi. Je, walipotaja majina ya baadhi ya waliopokea mgao si karibu wote wamerudi bungeni na kupewa vyeo tena wakati bado hili swala halijaisha?

Swala si Rais wetu wa sasa, swala ni tatizo kwenye system ya chama tawala. Hakuna wa kushikia mtu kengere. Ninachoomba wewe kama mwanachama halisi na kada, fungua kesi ya kwanza kumshitaki Lowasa na chama chake mfu unachokisema ili washtakiwe kwa ufisadi na uutaje. Kumbuka chama kinatawala na wanasheria wa serikali wako chini ya chama tawala hivyo chagua na usonge mbele. Tunataka haki etendeke kwa wote. Sasa hivi kama hujui hakuna jabs kwa watoto inawezekana watoto wa nduguzako wakafa kwa Surua, TB au magonjwa mengine ambayo tunaweza kuyakinga na unaelewa sababu kama huelewi ulizia makao makuu utajua sababu. Vikwazo vitaua na kuirudisha nchi tulikosema hatutaki kurudi.
 
Ukuuti ukuuti wa meeme wa meeme,mwenzeetu,mwenzeetu,kagoongwa,kagoongwa,na niini na niini,na gaari na gaari,tumpeleke mnazi mmoja asijekusema kwa mama yake,yeesa yesa yesa yeeeee....
Uchuumi uchuumi..mneene mneene,wa kweetu wa kweetu,kauumwa,kauumwa,na niini na niini,na SIIMBA na SIIMBA,tumpeleke magoogoni aende kusema kwa baba yake yeesa yesa yesa yeeeeee😀😀
 
Halafu tunaambiwa nini na hapa kazi tu? Naomba jibu Kama kuna analo!
 
Umetisha mkuu big up!!
 
Mkuu asante sana umeongea kizalendo kama nilivyo Mimi ....
Kuna watu uwa wanajitoa akili ili tu kutetea maovu hata kama ukweli unaonekana ..............

Maadui wa nchi yetu ni sisi wenyewe......
 
Hapo kwenye 1-10 fisadi Lowasa anaingia zaidi ya mara 5, haumtoi kwenye hiyo orodha!
Anzisha thread-jikite kwenye mada "simba trust". Kama lowasa ni fisadi tuwekee nondo za udhibitisho ili tujadili. Hatulinganishi ni nani fisadi zaidi hapa.
 

Two wrongs never make a right...Mafisadi wote lazima watasalimu amri...ninachosikitika ni wewe kung'ang'ania kusafisha uchafu mweusi kwa uchafu mwekundu...Give em time do not impose pressure na kutaka watu wafanye kwa matakwa yako. They have their own style...

Umeongelea ku hack wengine tuna pass words siyo tu ya yalioandikwa hadi yaliyojichora ubongoni mwa watu mbali na hiyo tuna uwezo wa ku project hadi future itakuaje...hao acha wa endelee ku hack ila hatupo kiutaniutani kama mnavyodhani...
 
Unapoandika haya unamkumbuka fisadi lowassa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…