Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

NILISHAWAHI NA NINARUDIA KUSEMA TENA LEO KUWA,ADUI MKUBWA WA WATZ.NI CCM NA VIONGOZI WAKE WOTE.
MNAYOYAONA LEO NI MOVIES NA COMEDY TU ZA KUTUHADAA NA KUTUONA SOTE NI MAZOBA,MALOFA KAMA WASEMAVYO WAO.
NJIA PEKEE NA UKOMBOZI PEKEE NI KUINDOA CCM MADARAKANI TU.
NA ILI KUIONDOA CCM MADARAKANI TUNAPASWA KUPAMBANIA TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA YA WANANCHI HARAKA SANA KABLA YA WIZI WAO MWINGINE KWENYE UCHAGUZI UJAO.
HAKUNA CHA MZALENDO AU NINI KWANI,KWA MAANA NDANI YA CCM NI WALE WALE NA NI SAWA NA ABIRIA ALIYE PANDA GARI AU KUWA NDANI YA GARI ALAFU ANASULIKUMA LILE GARI ANGALI YEYE YUMO NDANI YA GARI.HAKIKA INAHITAJIKA MIUJIZA KULISOGEZA GARI LILE.
KWA UFUPI NI HIVI MAGU HANA JIPYA HATA AKISHUKA MALAIKA NDANI YA CCM NI WALEWALE TU.
MFANO WALIYO TUFIKISHA HAPA NI WAO WALIYOTUIBIA MALI NA RASILIMALI ZETU NI WAO NA WASHIRIKA WAO.ETI LEO BAADA YA SHETANI KUZEEKA ANATAKA KUJIFANYA MALAIKA IS NOT POSSIBLE AT ALL.SHETANI NI SHETANI TU AWE KIJANA AU MZEE NI SHETANI TU.
ZAIDI KAMA AWAMU HII WANGELIKUWA WANATAKA KUOKOKA NA KUTOKA HUKO KUZIMU MAANA NI KUZIMU,WANGELI ENDELEZA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA YA WANANCHI NA KUONDOA KINGA YA MARAIS ILI TUWEZE KUWAAJIBISHA VIONGOZI WA KITAIFA WALITUFIKISHA HAPA NA KUSEMAKANA WAO NI WAHUSIKA WAKUU.
LEO INASEMAKANA WAACHENI WAZEE WAPUMZIKE WHAT NEWS DO TANZNIANS EXPECT???
NA WAMESHAANZA KUWAHADAA WALE AMBAO WAMEZAMIA KWENYE UJINGA KWA KUIGIZA ETI TUWAPONGEZE UZALENDO...OOOHH SIJUI ATAWALE ZAIDI YA MIAKA???
MAY GOD KEEP CURSING THAT GENERATIONS WITH THAT FAMILY EVERLASTING.
 
Ndio hao wanatoka CCM na kuja kuwaongeza huko... Na angekuwa Rais sijui ingekuaje.
 

Swali langu moja tuu kwako. Tuiondoe CCM Madarakani sawa,tukiwapa wapinzani nitajie Raisi wenu atakuwa nani?
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Mwizi zake arobaini
 

Kwa taaharifa yako hao jamaa niwatakatishaji pesa wazuri wa hile biashara yetu pendwa amabyo RC alikuja nayo moto mwisho aikujulikana ameishia wapi angalia Dimponz kwa poz bata anazokula angalia na mziki anaofanya anagalia rafiki zake wa karibu
 
Sawa wewe unataka afanye nini wakati ndiyo kwanza kazi imeanza na bado inaendelea?
 
Hapo ni Msoga family tu, na ndio kisiki cha Magu.

Kuna watu wanakula kwa kukomba mboga du!!! Aibu sana kuwa kiongozi wa aina ya kukomba mboga! Heshima ya kiongozi hataitapimwa kamwe kwa vitu anavyomiliki yeye na familia yake, bali kwa utu anaowatendea anaowaongoza!!!!
 
Wataje kwa majina hao ...1)Mfalme juha..2)mwana mfalme..3)binti mfalme..4)mtoto wa mfalme(teja)
 
Huyu jamaa sijui kapotelea wapi,kuna uzi aliwahi kuupost humu kuhusu Mwigulu kwa kifupi huyu jamaa ni qweqwi

Technically
Barafu

Wamepotea sana humu jukwaan
 
Naomba sote tushikamane na mheshimiwa Rais Dr. Magufuli kwenye vita ya kulianda na kutetea raslimali za taifa na uadilifu.
 
Bonge la syndicate....siku Magufuli akiifumua hii network mimi nitahamia CCM rasmi.

Sitajali uchumi unakua au la! Also, sitojali kuna Katiba Mpya au la!
 
Bonge la syndicate....siku Magufuli akiifumua hii network mimi nitahamia CCM rasmi.

Sitajali uchumi unakua au la! Also, sitojali kuna Katiba Mpya au la!
Njoo sasa tusaidiane naye usisubiri kazi iishe, uwe sehemu ya mabadiliko. CCM Oyee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…