Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Hiyo familia ni MAFISADI wakubwa

Kule Arusha Mererani wamesababisha hali kuwa ngumu haswaa.
 
Nakumbuka enzi zile Mama Siti alivyopata shida baada Mzee Rukhusa kustaafu ! wabongo noumaa sana.
 
Police wachunguze mtandao wa simba trust ili kukamata wauza unga.....
 
Ha ha ha mkuu , Aya ya mwisho umeniacha hoi sana
 
Come back please! You are not active any more in jamii forum! Where are you?
 
Reactions: BAK
Huyu jamaa ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Sijui kapotelea wapi ila kama nakumbuka vizuri alianza kuonyesha hofu ya kuchangia humu. I hope huko alipo yuko salama salmini.

Come back please! You are not active any more in jamii forum! Where are you?
 
Mleta mada ni mnafiki sana. Nyie mnatumia hisia badala ya kuweka documents. Sasa mnamsakama JK wakati huo huo mnasema alikuwa rais bora, so which is which?? Mwacheni JK apumzike!
Tuoneshee wapi kamtaja jk ndugu
 
Tutasikia mengi mwaka huu
Nchi hii ilishaoza,ndio maana kuna watu hawataki kuachia madaraka,ili waweze kujilinda na uovu wao wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…