Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
SENIOR BACHELOR nipo hapa karibun chai,
Yani na Mimi nije kuunga foleni?
Wewe ni bachela kabisa kama mm, bachela og. Nusu kilo ya nyama inakaa wiki nzima, ukipika wali wako unaweka na mchuzi plus finyango 2, wakat huo umekuja na parachichi lako swaafi linanogesha msosi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unforgetable
Ugali na mayai ndio mboga?!Msosi tayari, mda wa kupika mboga ni shida aisee.... Ubachela bhana.View attachment 1213287
Mulemjle hujawahi kukosea halafu nakatia vpande vipande vya parachichi kwenye sahani ya wali halafu ndizi mbivu unaiweka nzima yote kwenye sahani ya wali ili uikate na kijiko unachanganyia na waliDuh wewe na mimi ni dugu moja...usisahau ndizi mbivu
Hakuna muda wa kuanza kuandaa tenaAisee...ukipungua niongeze maji sio
Safiii mzeebaba....
Mimi huwa naanza kupika mboga,nikianza na wali hua naugonga hvyo hvyo kupika mboga napotezea[emoji3][emoji3]
Vibau vinatuboa sanaa vinahonga hela nyingii vikipiga kimoja tu vimechoka ndo vinafanya mabinti waone maisha ni marahisi.[emoji23][emoji23][emoji23]hata sisi hatuwataki, kama vip tutapambana na babu zenu kwani sh ngapi?
Khaaaa asa we hii ti tuu machiJinga kweli.
Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa mimi huwa narudi nimechoka napika mboga naidokoa hadi nakaribia kushiba naamua niile tuu yote nilale[emoji23][emoji23][emoji23]
Aseer, apo ndo siku imepita hiyoUgali na mayai ndio mboga?!
Safiii mzeebaba....
Mimi huwa naanza kupika mboga,nikianza na wali hua naugonga hvyo hvyo kupika mboga napotezea[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]Jinga kweli.
Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa mimi huwa narudi nimechoka napika mboga naidokoa hadi nakaribia kushiba naamua niile tuu yote nilale[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa kabisa...ukiula ukiwa wa moto hauna shida kabisaHapo ukianza na wali huwazi mboga tena zaidi ya chai au soda, au kimiminika kingine cha kushushia
Hivi nani aligundua hii ya ndizi mbivu na wali, unakata kipande na kijiko unaunganisha na wali pamoja. Ukizoea huwezi kula wali au pilau bila ndiziMulemjle hujawahi kukosea halafu nakatia vpande vipande vya parachichi kwenye sahani ya wali halafu ndizi mbivu unaiweka nzima yote kwenye sahani ya wali ili uikate na kijiko unachanganyia na wali
Endelea kushangaa
Inaonekana unamjua vizuri,mpaka aina ya wanawake anaopenda.Unampelekea chura mtu ambae haitaki?![emoji15][emoji15][emoji15]