Bachelor unakaangaje samaki? Unanunua washakaangwa na mafuta ya transfomaHahahaha ndiyo ninyi mkitumbukiza samaki mmoja tu kwenye mafuta mnatoa nduki utafikiri mmefungiwa turbo nyuma mnaenda kufunga break nje sasa unakuta mtu ana samaki kumi wote anatakiwa kuwakaanga na kila akitumbukiza samaki mmoja jikoni anakimbia sasa si atakesha
Sijui hilo pepo la kupenda hela umerithi wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani sasa hapendi hela jamani, nazipenda sanaaaa.
Wanakwama kwenye topeKweli hayo majina uliyoniita hapo nimedhibitisha wewe ni mzee kijana.
Maana hata vijana hawaiti majina matamu mamna hii.
Sijui wanakwama wapi?
Naomba ni ku pay a visit kesho[emoji23][emoji23][emoji23]Staili za kupika ni nyingi kikubwa ugali uive[emoji23][emoji23][emoji23]
Natafuta vijana wakakamavu watakafuata nyayo za mimi Mandela wa michepuko... nataka niwape semina elekezi ya namna ya kuifanya hii kazi bila kufumaniwa, kushtukiwa wala kuvunja mioyo ya viburudisho pendwa kitandaniDuuuuh ushazeeka stafu usituharibie vijana wanaokuchukulia kama role model[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Njoo nyumban bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tumuambie ukweli tu afanye aoe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi huwa narudisha mtungi ukiwa safi kabisa, kuna wapo huwa hawasafishia wakitaka kwenda kubadili.Hamna.. Nyie ndio mnafanya sisi tunauziwa mitungi iliyochakaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kesho sipo uje siku nyingineNaomba ni ku pay a visit kesho[emoji23][emoji23][emoji23]
Utalitumia hata kwa kazi hii[emoji23][emoji23][emoji23]Si ndio hapo sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi mshambuliaji kocha Saint anne alishatupanga kabisa
Akirudi mmoja ameiva, anatumbukiza wa pili anatoka tena nduki... Yule aliyekuwa ameivaa anaaza kuungua huku wa pili aliyemtumbukiza ameivaa, akirudi anatia watatu.... NkHahahaha ndiyo ninyi mkitumbukiza samaki mmoja tu kwenye mafuta mnatoa nduki utafikiri mmefungiwa turbo nyuma mnaenda kufunga break nje sasa unakuta mtu ana samaki kumi wote anatakiwa kuwakaanga na kila akitumbukiza samaki mmoja jikoni anakimbia sasa si atakesha
Mabachela wa enzi zetu hatukutaka ujinga kabisa...
View attachment 1212973
Hapa ni kabla Sky Eclat hakurudisha nidhamu ya ulaji
He will take back kila alichosema usijali.Kutoka fitna hadi uchawi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
cute b fanya namna mama hali inazidi kuwa mbaya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unakuta mtungi una kutu hatariHamna.. Nyie ndio mnafanya sisi tunauziwa mitungi iliyochakaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhahaha ndio, halafu sasa ni aibu maana anao hadi wajukuu.Kifuani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]