Huu ndio msosi wa bachela

Masenior bachelor ndo mna hizo mishe.

Majunior bachelor hatuna habari ya kujua jiko linafananaje. Misosi yetu yote baa, mgahawani na kwenye foil.
 
We nunua visosa tu.

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] nimelimiss tembele. Sasa P anakula saa ngapi[emoji134][emoji134]
Hahahahahhahaha hata sielewi maana mama ndio kama hivi nachati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwiiiii au nyumbani unaigiza kama sister wa parokia ya Moyo safi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, sijui tu huwa anaona nini kwangu. Ila kama hujanizoea unaweza hisi mimi mpole sana as sinaga mambo mengi. Busy na yangu tu.
Ila mama ndio huwa simuelewi[emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…