BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,371
Maiki ikiwa katika hali mbaya hawezi kukubali kutuma salamu.hata kutuma salamu mpaka mgombane
Amina.Tubuni na kuiamini Injili.
Nimemaliza
YOTE NI UBATILI MTUPUMmetuaminisha kuwa hakuna mapenzi bila pesa tumekubali tukaamua kuwekeza nguvu na muda kutafuta pesa.
Unakuta mtu siku umeokota kibunda chako umesolve vipengele vyako bahati nzuri umebakiwa na kachenji kidogo unasema leo wacha ni enjoy maisha kichwani unawaza vitu viwili tu pombe na wanawake.
Unapiga zako beer vizuri unasema wacha nitafute pisi yakunipa burudan unachagua pisi yenye mwonekano bomba ila unakuja kugundua pisi haina maajabu yoyote as if imelazimishwa Kuwa muuzaji.
Pisi haipo romantic hakuna anachokijua zaidi ya kujilaza tu sasa unajiuliza huyu mtu yupo serious kwenye fani yake maana hata kutuma salamu mpaka mgombane na hapo umetoa dau la kueleweka kudeal na watu wa aina hii ni matumizi mabaya ya pesa.
Ukikutana nao jinsi wanavyojibrand kuvuta wateja kumbe ni takataka tupu
ukitubu na kuiamini hiyo injili wewe na wanao inatosha.Tubuni na kuiamini Injili.
Nimemaliza
Haitoshi.ukitubu na kuiamini hiyo injili wewe na wanao inatosha.
Acha kudanganya umma mungu hakuzaa wala hakuzaliwaHaitoshi.
Malengo yetu ni kila mwana jf abatizwe na kuiamini Habari Njema ya Bwana wetu Yesu Kristu mwana pekee wa Mungu aliye hai.
Amen baba mchungajiTubuni na kuiamini Injili.
Nimemaliza
Tubu na kuiamini InjiliAcha kudanganya umma mungu hakuzaa wala hakuzaliwa
Ilikua zamani sio sasa ukiamini wewe na kizazi chako inatoshaTubu na kuiamini Injili
Acha ubishi
unataka kila mwanajf aamini injili sawa! Embu tuaminishe sasa/tushawishi tuiamini hiyo ijili.Haitoshi.
Malengo yetu ni kila mwana jf abatizwe na kuiamini Habari Njema ya Bwana wetu Yesu Kristu mwana pekee wa Mungu aliye hai.
ubarikiwe mtumishi wa MunguHaitoshi.
Malengo yetu ni kila mwana jf abatizwe na kuiamini Habari Njema ya Bwana wetu Yesu Kristu mwana pekee wa Mungu aliye hai.
Hata yeye pia hajampenda anafanya tu kwa sababu ya upwiru. Malalamiko ni kwamba mnavyoweka pesa mbele basi angalao toeni huduma ya kuridhisha kuwe na value for moneyUkute hajakupenda.
Amefanya tu sababu ya hela
Uliingia chaka bovu mwanetu pole sana siku nyingine jifunze kuotea halafu punguza huruma huruma hawapendi huruma huruma na usiwe muongeaji sana Mzee next time kausha uone wewe fanya vitendo tu usiongee sanaUkikutana nao jinsi wanavyojibrand kuvuta wateja kumbe ni takataka tupu