kabintispecial
Member
- Feb 16, 2014
- 67
- 31
Nina mpenzi wangu nampenda kuliko maelezo..yaani i could say nawish awe wangu wa milele..sasa tatizo linakuja tukiwa kitandani.
Wakati wa romance babu anasimama vizuri tena anakua na joto hatari.
Ila nikimshika tu anaanza kunywea,tukijaribu kufanya romance na simshiki akajaribu kuingia sekunde 5 chache.
Hamna kitu.
Nifanye nin jamani