Huu mtihani nifanye nin wadau

Huu mtihani nifanye nin wadau

Unaitwa upungufu wa nguvu za kiume...

Btw acheni uzinzi na uasherati subiri hadi uolewe ndio uanze kugawa kitumbua chako bi mkubwa...

duh..kazi kweli.!unadhani tungefika kwenye ndoa bila kujua hili tatzo kungekalika?
 
una uhakika sijafanya juhudi za kumsaidia?kwanza kua nae mpka sasa ni support kubwa tayari.!

ungekua umemsaidia thread yako ingekua na juhudi ulizofanya kumponya.,ila tumeona malalamishi tu.
 
duh..kazi kweli.!unadhani tungefika kwenye ndoa bila kujua hili tatzo kungekalika?

Ni baba yupi aombwaye na mwanaye mkate akampa jiwe?

Mungu wetu katupa nafasi ya kumuomba wenzi tuwatakao, tatizo lako unalifanya hilo zoezi kwa kutumia akili zako...

Kwa taarifa yako tu hilo ni tatizo la kimwili umeliona, je vipi kwa yale matatizo ya kiroho ambayo hujayaona? Utayajuaje hayo?
 
nina mpenzi wangu nampenda kuliko maelezo..yaani i could say nawish awe wangu wa milele..sasa tatizo linakuja tukiwa kitandani..wakati wa romance babu anasimama vizuri tena anakua na joto hatari..ila nikimshika tu anaanza kunywea,tukijaribu kufanya romance na simshiki akajaribu kuingia sekunde 5 chache..hamna kitu..nifanye nin jamani
kabintispecial? babu anasimamaje na kunywea wakati wewe ni mwanamke?

au mi ndo sijakupata mama?

we si mwanamke kabisa?
 
Last edited by a moderator:
nina mpenzi wangu nampenda kuliko maelezo..yaani i could say nawish awe wangu wa milele..sasa tatizo linakuja tukiwa kitandani..wakati wa romance babu anasimama vizuri tena anakua na joto hatari..ila nikimshika tu anaanza kunywea,tukijaribu kufanya romance na simshiki akajaribu kuingia sekunde 5 chache..hamna kitu..nifanye nin jamani

sio ugonjwa ni uoga na kutokuzoea/inexprience atakua normal baada ya mda flani
 
wacha bana kabintispecial ushajichokea wewe huna ubinti tena, unachefua wewe unayeleta habari za kipuuzi hapa

Mwanaume mzma kazi kusutana na mwanamke ntakuvalisha sketi..huna haya..!kama topic ilikukera si ungekaa pembeni..------ umekuwasha mpka ukajileta..kashuguliwe uko.!usitake tutukanane huniwezi kabsa
 
Mwanaume mzma kazi kusutana na mwanamke ntakuvalisha sketi..huna haya..!kama topic ilikukera si ungekaa pembeni..------ umekuwasha mpka ukajileta..kashuguliwe uko.!usitake tutukanane huniwezi kabsa

kabintispecial sina historia ya kubishana na matahaira kama wewe, na wala sijui nini maana ya kusutana, hivi wewe ni mwanamke au janamke? stupid
 
kabintispecial sina historia ya kubishana na matahaira kama wewe, na wala sijui nini maana ya kusutana, hivi wewe ni mwanamke au janamke? stupid

Utajibeba..!mwanamke au janajike..bora najulikana jinsia yangu kuliko ww mwanaume usio riziki.!ungekua hutaki kubishana ungekeep ur silly negative commit to ur f..u..cking stupid retarded mind..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom