Huu mti niutazamapo najihisi kulia

Huu mti niutazamapo najihisi kulia

"mti wa madafu" huo unaitwa mnazi. Halafu ukiongea uwe unakaza sauti.
Ni kweli inaitwa mnazi lakini tangu nayaona sijawahi ona hizo minazi zaidi unatoa madafu mkuu ndio product nayo Iona, hivo sioni kama Kuna haja ya KUITA mnazi ilihali product inayo Toka ni madafu
 
Ukiangalia hiyo picha ya huo mti,ni umezungukwa na concrete,kwa kawaida concrete hua ina absorb heat kisha unalipeleka hilo joto direct kwenye huo mti,angalia hayo matawi ya pembeni jinsi yalivyo kauka,mizizi ya hiyo miti imeenda chini ya hiyo concrete,sasa hapo hiyo concrete inatengeneza barrier kwa maji hata ya mvua kwenda deep kwenye mizizi,

Mizizi ya huo mmea inahitaji nafasi ili itawanyike na sio kuzungukwa na hiyo concrete,
Cha kufanya sasa hivi,kata hayo matawi yaliyo kauka,usikate hayo matawi ya green wala kuyashika katikati yake coz hapo mti upo kwenye stage ya kurecover,jaribu kua unaumwagilia maji wakati wa asubuhi au jioni wakati jua limepoa ili kuzuwia maji kutengeneza mvuke kupitia hilo concrete na kuuathiri hua mmea,

Jaribu kupalilia hiyo mimea midogo iliyo uzunguka huo mti coz hiyo mimea pia inalishwa na mizizi ya huo mti,jaribu kuweka vitu kama chips za mbao kuuzunguka huo mti ili kusaidia kama kinga yake kuweka hali ya ubaridi kuuzunguka huo mti.
 
Asee mkuu elimu nzuri sana umenipa talifanyia kazi inshallah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom