sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,160
- 48,367
Hahaha nyinyi mlikua mnasomea kwenye vichaka pale accademic bridge
Sie ma-FoE hatujakaa ktk huo mti
Sie ma-FoE hatujakaa ktk huo mti
Duh!Hahaha nyinyi mlikua mnasomea kwenye vichaka pale accademic bridge
Hawa ndo wazee wa shato pori wanaliunga kwa miguu mpaka biboHahaha nyinyi mlikua mnasomea kwenye vichaka pale accademic bridge
Hahaha niliwah kutembea kisha nikanunua maji ya 500 kwa sababu ya kusweat. Nikaona kutembea n upuuzi.Hawa ndo wazee wa shato pori wanaliunga kwa miguu mpaka bibo
Bora ungepata ya kudownloadHahaha niliwah kutembea kisha nikanunua maji ya 500 kwa sababu ya kusweat. Nikaona kutembea n upuuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wali wa makifusi.Bora ungepata ya kudownload
Angalia mwaka nilio weka hii threadUkimaliza utatukuta kitaa wenzio tuna miaka saba ajira hakuna
Kuna walifurani wali nyama zisizo idadi amount unajipimia mwenyewe walikuwa wanauza kwenye lambo, walikuwa wanauza jero, buku, buku jero... Yaani bei unachagua mwenyewe Ni nyuma ya cafteria furani hivi, wadau walikuwa wanaita muamala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wali wa makifusi.
So ni sahihi kusema Tanzania ndo nchi pekee yenye mti wenye degree katika matangazo yetu ya kuvutia watalii?Ndio ume-join UDSM leo au? Anyway, ni ngumu kusoma hapo Chuoni hadi ukamaliza masomo yako pasipo kukaa hapo kwenye huo mti japo kwa siku moja! Na kwakuwa hapo kwenye huo mti watu wamekuwa wakijisomea na kupata shahada zao, nao huo mti ukatunukiwa "degree" kwa kushiriki / ku-facilitate kwenye discussions za wanafunzi!
kwanini ulipachukia na ulipapenda wapiaisee nimekumbuka mbali.....ingawa nilikuwa napachukia UDSM