Huu Mti hapa UDSM kwanini unaitwa Mdegree?

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,585
Reaction score
11,269
Habari wanaJF,

Kwa wale walio soma UDSM, karibu na Utawala kuna mti mkubwa ambapo watu husoma. Mara kwa mara watu hujaa pale na ni nadra kupata nafasi, sasa mtwa nauliza ni kwanini mti ule ukaitwa Mdegree?

1596532607578.png
 
Ndio ume-join UDSM leo au? Anyway, ni ngumu kusoma hapo Chuoni hadi ukamaliza masomo yako pasipo kukaa hapo kwenye huo mti japo kwa siku moja! Na kwakuwa hapo kwenye huo mti watu wamekuwa wakijisomea na kupata shahada zao, nao huo mti ukatunukiwa "degree" kwa kushiriki / ku-facilitate kwenye discussions za wanafunzi!
 
Nipo Pale Kwa Muda Sasa Ila Nilikuwa Nauliza Maanaake Nimesikia Habari Kama Hizo
 
Kwa Wale Walio Soma Udsm, Karibu Na Utawala Kuna Mti Mkubwa Ambapo Watu Husoma. Mara Kwa Mara Watu Hujaa Pale Na Ni Nadra Kupata Nafasi, Sasa Mtwa Nauliza Ni Kwanini Mti Ule Ukaitwa MDEGREE?

Tuwekee picha ili iwe kumbukumbu. Huwezi kupata degree bila kusomea chini ya huo mti.
 
Nasikia pia majira ya kuanzia october to Dec huwa unapukutisha majani yake yote kuonesha umewa-award wahusika degree zao (si unajua graduesheni ni kati ya Oct-Dec)

Tuwekee picha ili iwe kumbukumbu. Huwezi kupata degree bila kusomea chini ya huo mti.
 
Nasikia pia majira ya
kuanzia october to Dec huwa unapukutisha majani yake yote kuonesha
umewa-award wahusika degree zao (si unajua graduesheni ni kati ya
Oct-Dec)

Hakuna majani kipindi hiki!.....Academic bridge pako poa though kuna bomba la maji taka limefumuka.....
 
Vipi kuhusu academic bridge naomba ufafanuzi
 
Hahahaaaa.....i remember those old good days at The Hill...lol...
 
Vipi kuhusu academic bridge naomba ufafanuzi

kaka lazma upte academic brdge uende faculty/school of law,nkurumah,theatre 1 and 2...cafteria..halls..etc hvyo ikabdi paitwe academic brdge
 
Kwa Wale Walio Soma
Udsm, Karibu Na Utawala Kuna Mti Mkubwa Ambapo Watu Husoma. Mara Kwa
Mara Watu Hujaa Pale Na Ni Nadra Kupata Nafasi, Sasa Mtwa Nauliza Ni
Kwanini Mti Ule Ukaitwa MDEGREE?

mi nilikua napenda kuka vimbweta hapo fass tawa kuna upepo mzuri
 
Unanikumbusha mbali na huo mdigree!!!
Kwa Wale Walio Soma Udsm, Karibu Na Utawala Kuna Mti Mkubwa Ambapo Watu Husoma. Mara Kwa Mara Watu Hujaa Pale Na Ni Nadra Kupata Nafasi, Sasa Mtwa Nauliza Ni Kwanini Mti Ule Ukaitwa MDEGREE?
 
Daaah ukitaja huo mti unanikumbusha mbaaali mno. Huwezi kusoma mpaka umalize kozi yako bila kusomea hapo hata kama ni wakati wa mitihani tu.
 
aisee nimekumbuka mbali.....ingawa nilikuwa napachukia UDSM
 
Daaah! Mkuu umenikumbusha mbali sana. Hakika ni mti rafiki sana hasa wakati wa kujifua na UE. Yaani nimekumbuka pia tulivyokuwa tunakomaa na shule mpaka baadhi ya lecturers tunawaita majina ya watunzi wa vitabu walivyokuwa wanapenda tusome. Namkumbuka MAMA CHAZAN!!!
 
Kwa Wale Walio Soma Udsm, Karibu Na Utawala Kuna Mti Mkubwa Ambapo Watu Husoma. Mara Kwa Mara Watu Hujaa Pale Na Ni Nadra Kupata Nafasi, Sasa Mtwa Nauliza Ni Kwanini Mti Ule Ukaitwa MDEGREE?
Kwanini hujiulizi kwanini watu hujaaga pale? Ule mdegree ni siri ya mtungi.
 
Ndio ume-join UDSM leo au? Anyway, ni ngumu kusoma hapo Chuoni hadi ukamaliza masomo yako pasipo kukaa hapo kwenye huo mti japo kwa siku moja! Na kwakuwa hapo kwenye huo mti watu wamekuwa wakijisomea na kupata shahada zao, nao huo mti ukatunukiwa "degree" kwa kushiriki / ku-facilitate kwenye discussions za wanafunzi!
Sie ma-FoE hatujakaa ktk huo mti
 
Back
Top Bottom