donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Shukrani mkuuMtafute Kikeke..
Thnx mkuuCongo jimbo la bukavu
Thnx mkuuCongo kinshasa
Thnkx mkuu kwa uelewa wako pia
uyu jamaa ana umri mkubwa sana lakini nikimwangalia akiwa anatangaza huwa nahisi anajiona 18 years, huwezi amini ana mtoto form six au university. sijui limbukeni au nini, akiduna na kulembua BBC swahili huwa nabadilisha chanel faster kwasababu naona anakera.