Leo wakati narudi nyumbani jionii hii, nimeona dalala imeandikwa kwa nyuma "UTAMU HAUNA SIRI" nimejaribu kutafakari huu msemo nazidi kuumia kichwa. Karibuni mnisaidie.