Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,786
- Thread starter
- #21
Mapishi yame ingiaje hapo?Sasa hapo nmekosea nini 😂
Mapishi yame ingiaje hapo?Sasa hapo nmekosea nini 😂
Ni mfano mkuu au haipaswi kutoa mfano toka sekta ya mapishi?Mapishi yame ingiaje hapo?
Mshindi weweNi mfano mkuu au haipaswi kutoa mfano toka sekta ya mapishi?
Sasa hapo nmekosea nini 😂
😂 kasusa ?🤣🤣🤣kumsimanga mpishi wetu ona sasa leo tunalala njaa
Hatushindani mkuu 😂Mshindi wewe
Nita kupataHatushindani mkuu 😂
Acha matishioNita kupata
Ni mfano au Mwachiluwi ni mpishi haswa?Ndivyo ilivyo kwa mfano mtu labda riziki yako ipo kwenye mapishi ni lazima uipambanie kwa kupika sana. Ni mfano tu
Half american Acha utani wa ngumi kakaNdivyo ilivyo kwa mfano mtu labda riziki yako ipo kwenye mapishi ni lazima uipambanie kwa kupika sana. Ni mfano tu
Una ufala mwingi sana aiseee 😃😃😃😃😃😃😃Mi nataka nikupanue mawazo yako nikuingizie new ideas.
Ni mfano tu mkuu 😂Half american Acha utani wa ngumi kaka
Ni mfano tu mkuu ila mfano halisiNi mfano au Mwachiluwi ni mpishi haswa?
Kwanza kabisa athibitishe Mungu yupo.Mfano mtu una mpa mchongo ana ukataa kabisa una mbembeleza una ongea nae vizuri yaan kwa kujaribu kumpanua mawazo atambue ata umuhimu wa ilo jambo ana goma
Mwisho yame mshinda mambo ndio ana kuja na kuanza tena kuomba msaada. Na kusema mda ule ujui Mungu kaniepusha na nini? Tuwe wakweli kuna mda riziki binadamu tuna zikimbia wenyewe Mungu tuna msingizia mnataka Mungu atoke uko akuambie fanya hiki? Kakupa maarifa jiongeze
Mimi binafsi sijawai kuukubali Kusema kila mtu na riziki yake
Yaan wewe bahati upo mbaliNi mfano tu mkuu ila mfano halisi
Sasa hapa kiteto ni mbali?Yaan wewe bahati upo mbali
Huyo jamaa anapika bhana!Ni mfano tu mkuu ila mfano halisi
Hapo kibaya, Engusero, Dosidosi, Ngipa, Matui na Pori kwa pori wala siyo mbali.Sasa hapa kiteto ni mbali?
Sasa hapa kiteto ni mbali?
Ni karibu sanaUngekuwa karibu