Huu msemo sijawahi kuukubali

Huu msemo sijawahi kuukubali

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,467
Reaction score
65,786
Mfano mtu una mpa mchongo ana ukataa kabisa una mbembeleza una ongea nae vizuri yaan kwa kujaribu kumpanua mawazo atambue ata umuhimu wa ilo jambo ana goma

Mwisho yame mshinda mambo ndio ana kuja na kuanza tena kuomba msaada. Na kusema mda ule ujui Mungu kaniepusha na nini? Tuwe wakweli kuna mda riziki binadamu tuna zikimbia wenyewe Mungu tuna msingizia mnataka Mungu atoke uko akuambie fanya hiki? Kakupa maarifa jiongeze

Mimi binafsi sijawai kuukubali Kusema kila mtu na riziki yake
 
Nikitaka KUKUPANUA MAWAZO YAKO UTAKUWA TAYARI?
 
Back
Top Bottom