Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

Kwenye elimu ndogo nakupinga tena kwa HERUFI KUBWA๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ,. Na wala hawajai kuwa wapumbavu...

Respect is a key ๐Ÿ”‘ ๐Ÿ‘Œ
Sasa wanashindwaje kujua genetics ya kawaida kama hiyo? Kwahiyo Mungu alikosea kukuumba left handed wao ndo wajuaji kiliko Mungu? Fatilia sifa za left handed uone kama ni watu wa kawaida, wapo 10% of population, wengi wao wana vipaji fulani fulani, watu adhimu sana.
 
Mboga Saba au sio toto zuri
 
ungeng'ang'ania ubaku hukuhuku sijawahi jutia kuwa mashoto kwakweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ