ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 610
- 1,540
Mkapa ndio mnyongeHuyu ndiye baba anayesema yupo kwa ajili ya wanyonge sijui ni wanyonge wepi anaye wasema.
Wanyonge kina Lugumi.Huyu ndiye baba anayesema yupo kwa ajili ya wanyonge sijui ni wanyonge wepi anaye wasema.
bajeti ya pembejeo kutoka Tsh. bilioni 78 mpaka Tsh. bilioni 10! ama kweli huyu kakusudia watu waaishi kama mashetani.Huyu ndiye baba anayesema yupo kwa ajili ya wanyonge sijui ni wanyonge wepi anaye wasema.
Kuwa na ndege siyo mbaya, bali anapotaja ndege anaonyesha priorities zetu zilivyo za hovyo.mbona ndege zinawauma sana kila mara lazima mchombeze ndege. kwani huwezi tuu ukawasilisha hoja yako bila kutaja ndege.?
kwa hiyo ndege ndio zimemaliza pesa zote za serikali.? inawezekana una hoja ya msingi, ila kuingiza ndege kwenye hoja yako umeniharibia mood.
kilimo kiwe kilimo na ndege ziwe ndege. acheni ushamba wa kuwaza ndege kwennye kila mnalowaza.
Kuwa na ndege siyo mbaya, bali anapotaja ndege anaonyesha priorities zetu zilivyo za hovyo.
Bado kuna ndege zingine zinakuja na zimelipiwa cash! Cash ambayo ingesaidia kununua pembejeo, mikopo kwa wanafunzi, kulipa madeni ya watumishi nk!Mkuu, hakuna priority ya hovyo hapo. kwanza hilo lilishaisha, ndege zilishanunuliwa. nadhani tungeendelea na mengine. lakini kukaa tuna reffer ndege kila tukilala tukiamka ndege, hii inaonyesha tulivyo washamba. siku sekta ya utalii ikiinuka kutokana na ndege tunazonunua mkumbuke kuja hapa mkiri aibu zenu.
ndege...ndege...ndege..............basi zichukueni mzirudishe huko canada ili mfurahi.
nani aliwaambia ndege ndio zimezuia kilimo.? huu ni ushamba na ufinyu wa kufikiria.
Unanswered cries........everyone come with complainments but no solutions on those complaints.Kilimo. Maamuzi. Msalaba.
Kilimo - Sekta ambayo inaajiri watu wengi ( takribani 70% ya Watanzania ) na ambayo inasisimua sana uchumi sasa inachechemea.
Waziri wa Fedha ametuambia juzi kwamba, Kilimo kimeshuka kasi ya ukuaji wake kutoka 2.5% hadi 0.6% mwaka 2016. Hii ni kasi ndogo zaidi kupata kutokea ya ukuaji wa sekta ya kilimo tangu nchi yetu ipate uhuru.
Kilimo kinatakiwa kikue kwa kasi ya asilimia 6 - 8 kwa mwaka ili kuondoa umasikini kwa kasi. Hata hivyo kiwango cha juu zaidi kufikiwa ni 4.4% katika kipindi cha kuanzia mwaka 2000 mpaka mwaka 2015. Hii ndio sababu ukuaji wa uchumi Tanzania hauondoi umasikini kwani sekta zinazoendesha ukuaji huo sio sekta za wanyonge.
Kushuka kwa kasi ya ukuaji wa sekta ya kilimo ni kiashiria kikubwa sana cha 1) kuongezeka kwa umasikini, 2) kupanuka kwa wigo wa wenye nacho na wasio nacho na 3) kuongezeka kwa ukosefu wa ajira. Hivi Ndio viashiria vya MAENDELEO na sio idadi ya ndege ambazo nchi inamiliki.
Kilimo kinaathiri usalama wa chakula na kadiri bei za vyakula zikiyumba, masikini wa mijini (urban poor) hali yao huwa mbaya zaidi. Kukauka kwa ghala la chakula ni matokeo ya uendeshaji mbovu wa uchumi usiozingatia hali za wanyonge na kukumbatia maonyesho ya vitu.
Unaposema kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe, nani anabeba msalaba Wa makosa ya kimaamuzi na kisera yaliyofanywa na serikali na kusababisha njaa nchini?
Bajeti ya pembejeo za kilimo imeshuka kutoka shilingi 78 bilioni mwaka 2015/16 mpaka shilingi 10 bilioni mwaka 2016/17. Pembejeo hazikufika kwa wakulima kwa Wakati na zilizofika zilikuwa ghali Sana. Wakulima wengi wanyonge hawakuweza kulima kwa mbolea na ilibidi kutumia mbegu ambazo hazina ubora. Huu msalaba wa maamuzi kuhusu pembejeo anaubeba Nani? Wananchi?
Bado kuna ndege zingine zinakuja na zimelipiwa cash! Cash ambayo ingesaidia kununua pembejeo, mikopo kwa wanafunzi, kulipa madeni ya watumishi nk!
Sasa pasuka kabisa!
sio priority zetu bali zake mtakatifuKuwa na ndege siyo mbaya, bali anapotaja ndege anaonyesha priorities zetu zilivyo za hovyo.