Unapomtafsiri Pacome alikuwa offside ila hakuwa ameingilia mchezo, offside ilikufa mara baada ya Max kuuchukua ule mpira , Pacome angeugusa mpira mda Max ameuchukua ingekuwa offside.
Max kachukua mpira na akasogea zaidi eneo la gori wakati huu tayari Pacome alikuwa nyuma, Max anapiga Camara anaurudisha, so ukitaka kuitafsiri kama ni offside au lah angalia mda Max anapiga mpira Pacome alikuwa wapi.