Jibu lako limenifariji sana, maana ilibakia kidogo nikate mpapai wangu, ninayo miwili hapa kwangu na yote ipo kama ya mtoa mada hapo juu. Nilinunua mche kwa jamaa mmoja hivi alinihakikishia utazaa. Mpapai mwingine huo umeota wenyewe tu bila mimi kupanda.Nilikuwa nao wa Aina hiyo unazaa mapapai makubwa na unakuwa mrefu Sana matamu pia
Litaanza kuzaa moja au mawili baadae linazaa zaidi endelea kuwa na subiraJibu lako limenifariji sana, maana ilibakia kidogo nikate mpapai wangu, ninayo miwili hapa kwangu na yote ipo kama ya mtoa mada hapo juu. Nilinunua mche kwa jamaa mmoja hivi alinihakikishia utazaa. Mpapai mwingine huo umeota wenyewe tu bila mimi kupanda.
Acha nivute subira, Asante.
Huo mpapai ni dume njia pekee ya kuubadilisha ni kuugongelea misumaliWadau habari.
Huu mpapai nilinunua mche mwezi January kama sijakosea. Sasaumeanza kutoa maua kama hayo mnayoona. Michemingine huwa inapotoa maua inatoa maua moja mojaambayo ndo inakuwa tunda lakini angalia hayo maua yalivyo mengi alafu madogo.
Hivi siyo papai dume kweli? Naomba wazoefu mnisaidie ili kama ni dume nikaling'oe haraka sana nipande mche mwingine ili huu usinilie rutuba zangu bure.
View attachment 3286066
N A K A Z I AUfungie gunzi
Mkuu huo ni dume. Liache tu Kwa ajiri ya uchavushaji ni muhimu sana. Kuhusu kwamba litazaa niuongo hata likiweka katunda ni kadogo mno.Jibu lako limenifariji sana, maana ilibakia kidogo nikate mpapai wangu, ninayo miwili hapa kwangu na yote ipo kama ya mtoa mada hapo juu. Nilinunua mche kwa jamaa mmoja hivi alinihakikishia utazaa. Mpapai mwingine huo umeota wenyewe tu bila mimi kupanda.
Acha nivute subira, Asante.
Kuna mahusiano gani kati ys gunzi na mpapai dume mkuu?Mkuu huo ni dume. Liache tu Kwa ajiri ya uchavushaji ni muhimu sana. Kuhusu kwamba litazaa niuongo hata likiweka katunda ni kadogo mno.
Nimewahi kulima mapapai najua abc zake
Mkuu Kuna Uzi humu upo jamii checkKuna mahusiano gani kati ys gunzi na mpapai dume mkuu?
Pole!Wadau habari.
Huu mpapai nilinunua mche mwezi January kama sijakosea. Sasaumeanza kutoa maua kama hayo mnayoona. Michemingine huwa inapotoa maua inatoa maua moja mojaambayo ndo inakuwa tunda lakini angalia hayo maua yalivyo mengi alafu madogo.
Hivi siyo papai dume kweli? Naomba wazoefu mnisaidie ili kama ni dume nikaling'oe haraka sana nipande mche mwingine ili huu usinilie rutuba zangu bure.
View attachment 3286066
Hahaha kweli zamani tulikuwa tunafunga gunzi la muhindi.Dume ilo,funga gunzi litabadili jinsia na kua shemale