Huu mchepuko wa aina hii umenishtua kidogo

ina maana Gari 2 na ninyi wa4 (ww Rafiki yako, Mchepuko, na shemeji wa jamaa)
simu miisikilizaje ndani ya gari moja? au kuna mahali mlishuka mkajumuika moja moto
maana kuna mahali unamuendesha jamaa msabato
na dogo ana mchepuko
Mchepuko alipanda gari moja na mshikaji wangu.
Shemeji wa mshikaji wangu, alipanda gari niliyokuwa naendesha mimi.
Hayo mambo ya simu yalifanyika kabla hata safari haijaanza...
 
Wakuu,
Huu mchepuko wa jamaa yangu umenishangaza kidogo.
Twende kwenye point.

Mshikaji anafanya Biashara zake Arusha, juzi Alhamisi akanipigia kuwa anakuja Dar, alikuwa ameagiza gari zake mbili kupitia Befoward.
Aliambia atakuja na mke wake! So nikawapokee JKNIA bad lucky muda alioniambia nilikuwa nje ya town kabisa!!
Nilimwomba jamaa yetu mwingine akawapokee awapeleke hotel [emoji545]

Kuna hotel pale Kariakoo huwa ndio anafikia, nikijua ningewajoin jioni.
Mambo yalienda poa, mshikaji ninamfahamu mke wake vizuri.
Nilivyowakuta yule Mwanamke hakuwa mke wake, nilijiuliza maswali sana! Mshikaji ni msabato 100%...mcha Mungu, mndhamini wa vikundi kanisani kwao, biashara yake inamwingizia kipato kizuri. Anaheshimika, hagusi pombe...

Mwanamke alikuwa mjamzito, jamaa akamtambulisha kuwa ni rafiki yake wa karibu, Mama kijacho wake!!
Nilishtuka sana, baadae jamaa alinijulisha yule Dada ni Mchepuko wake tu, ulioko kwenye system na gari moja ni ya huo mchepuko.

Mke wake hajui chochote, kilichofanya kuandika hapa sio hata kuwa na mchepuko.
Ishu ni kaka mdogo wa mke wa jamaa(mke halisi) aliyejiunga na sisi jana.
Kuna wakati Dada yake alimpigia simu mshikaji na kuomba kuongea na mdogo wake wakati anampa simu jamaa akaiweka loudspeaker? Ili asikie mke wake anasemaje.

Dah mke akamuuliza hapo mko wangapi? Jamaa akamwonyesha shemeji yake kwa ishara ya vidole vi3. Dogo akajibu hivyo hivyo tuko watatu.(heshima iliyojaa uoga) .
Nimemhurumia sana dogo, shemeji yake ana mchepuko mbele yake! Tumempa lift dogo, yeye aliishia Segera anaenda Tanga.

Alipanda gari niliyokua naendesha na Shemeji yake akawa anaendesha hiyo nyingine na mchepuko wake, sisi tulitangulia so tulivyofika segera tuliwasubiri walivyofika, wakaagana fresh na jamaa akamwachia dogo mpunga kidogo.

Tokea Dar nilikuwa najiuliza maswali kibao kichwani, huyu dogo alilichukuliaje hili swala, japokuwa sikutaka tupige stori za hilo jambo kabisa, bahati nzuri muda wote alikuwa ananisimulia mambo ya chuo coz amehitimu mwaka huu.

Sasa hivi tuko Moshi, nitaishia hapa as long as Arusha sio mbali mchepuko ataendesha gari yake!!
Aisee haya maisha ni full of surprises, huyu jamaa kipindi ninaoa muda mwingi alikuwa ananionya niachane na michepuko.

Kumbe na yeye ni jemedari wa mpango wa kando, na alimpa dada wa watu mimba ili asiolewe na mtu mwingine, ubarazuli namtafutia angle yake!! Mbaya zaidi hadi dogo amejua kuwa shemeji yake anamsaliti dada yake.
Nimeamini hakuna mwanaume asiye na mchepuko chini ya hili jua....
Mkuu acha kutuchafua sisi tusio ma michepuko. Tafadhali sana mkuu...
 
Haa😁😆😂😃😄😅
Ukiwaona Watu Huko WhatsApp, Facebook, Jamiiforums.com Utafikiria Watakatifu
Hayo Ndiyo Maisha Pia Nyumba Zina Siri Nzito Sana

Huyo Jamaa Yako Utakuta Ni Mzee Wa Kanisa
Jumamosi Anachukua MIC Anaongea Akiwaasa Watu Mema.

Acha Ale Maisha
Mke Mmoja Analemaza Akili
Nimependa Alivyounga Juhudi Za Awamu Hii Ya Tano Hayana Nafasi Awamu
Ndugu Zangu Zaeni Unajua Kwenye Utawala Wangu Sitaki Uzazi Wa Mpango
 
Bwn Mungu hadhihakiwi.
Tusijifiche kwenye chaka la kukosa uaminifu eti hakuna mkamilifu, ili kutenda maovu.
Utajiri, mali na uwezo tulio nao ni baraka toka kwa Mungu, yatubidi tumuheshimu na kuheshimu wenzi wetu.
Acheni uzinzi eti mchepuko, mnatafuta kuangamia!!
 
Wasabato kwa uzinzi/kuzaa zaa nje hovyo hovyo hua nawakubali sana,karibu wasabato wote ninaowajua ndio tabia zao hizo.

Wao wanachokiweza ni kutokunywa pombe,kupenda vyakula vya asili(Dr.Ndodi walimuelewa sana kwny hili) na kutokunywa coca-cola ila kwny uzinzi palishawashinda pale.

No hard feelings.
 
Wakuu,
Huu mchepuko wa jamaa yangu umenishangaza kidogo.
Twende kwenye point.

Mshikaji anafanya Biashara zake Arusha, juzi Alhamisi akanipigia kuwa anakuja Dar, alikuwa ameagiza gari zake mbili kupitia Befoward.
Aliambia atakuja na mke wake! So nikawapokee JKNIA bad lucky muda alioniambia nilikuwa nje ya town kabisa!!
Nilimwomba jamaa yetu mwingine akawapokee awapeleke hotel [emoji545]

Kuna hotel pale Kariakoo huwa ndio anafikia, nikijua ningewajoin jioni.
Mambo yalienda poa, mshikaji ninamfahamu mke wake vizuri.
Nilivyowakuta yule Mwanamke hakuwa mke wake, nilijiuliza maswali sana! Mshikaji ni msabato 100%...mcha Mungu, mndhamini wa vikundi kanisani kwao, biashara yake inamwingizia kipato kizuri. Anaheshimika, hagusi pombe...

Mwanamke alikuwa mjamzito, jamaa akamtambulisha kuwa ni rafiki yake wa karibu, Mama kijacho wake!!
Nilishtuka sana, baadae jamaa alinijulisha yule Dada ni Mchepuko wake tu, ulioko kwenye system na gari moja ni ya huo mchepuko.

Mke wake hajui chochote, kilichofanya kuandika hapa sio hata kuwa na mchepuko.
Ishu ni kaka mdogo wa mke wa jamaa(mke halisi) aliyejiunga na sisi jana.
Kuna wakati Dada yake alimpigia simu mshikaji na kuomba kuongea na mdogo wake wakati anampa simu jamaa akaiweka loudspeaker? Ili asikie mke wake anasemaje.

Dah mke akamuuliza hapo mko wangapi? Jamaa akamwonyesha shemeji yake kwa ishara ya vidole vi3. Dogo akajibu hivyo hivyo tuko watatu.(heshima iliyojaa uoga) .
Nimemhurumia sana dogo, shemeji yake ana mchepuko mbele yake! Tumempa lift dogo, yeye aliishia Segera anaenda Tanga.

Alipanda gari niliyokua naendesha na Shemeji yake akawa anaendesha hiyo nyingine na mchepuko wake, sisi tulitangulia so tulivyofika segera tuliwasubiri walivyofika, wakaagana fresh na jamaa akamwachia dogo mpunga kidogo.

Tokea Dar nilikuwa najiuliza maswali kibao kichwani, huyu dogo alilichukuliaje hili swala, japokuwa sikutaka tupige stori za hilo jambo kabisa, bahati nzuri muda wote alikuwa ananisimulia mambo ya chuo coz amehitimu mwaka huu.

Sasa hivi tuko Moshi, nitaishia hapa as long as Arusha sio mbali mchepuko ataendesha gari yake!!
Aisee haya maisha ni full of surprises, huyu jamaa kipindi ninaoa muda mwingi alikuwa ananionya niachane na michepuko.

Kumbe na yeye ni jemedari wa mpango wa kando, na alimpa dada wa watu mimba ili asiolewe na mtu mwingine, ubarazuli namtafutia angle yake!! Mbaya zaidi hadi dogo amejua kuwa shemeji yake anamsaliti dada yake.
Nimeamini hakuna mwanaume asiye na mchepuko chini ya hili jua....
Mke wa jamaa Kama yupo humu huoni Kama utakuwa umetoboa Siri?
 
Sasa si useme tu kama udhaifu unakukera.

''Unataka kusahihisha makosa yangu niambie mimi sio ulimwengu, maana makosa yatasahihishwa na mm si wanajamii forum''.
 
Wasabato kwa uzinzi/kuzaa zaa nje hovyo hovyo hua nawakubali sana,karibu wasabato wote ninaowajua ndio tabia zao hizo.

Wao wanachokiweza ni kutokunywa pombe,kupenda vyakula vya asili(Dr.Ndodi walimuelewa sana kwny hili) na kutokunywa coca-cola ila kwny uzinzi palishawashinda pale.

No hard feelings.
Kwanini unafahamiana na marafiki wazinzi wasabato na mnakuwa karibu mpaka hawafichi uzinzi wao kwako? No hard feelings.
 
Wakuu,
Huu mchepuko wa jamaa yangu umenishangaza kidogo.
Twende kwenye point.

Mshikaji anafanya Biashara zake Arusha, juzi Alhamisi akanipigia kuwa anakuja Dar, alikuwa ameagiza gari zake mbili kupitia Befoward.
Aliambia atakuja na mke wake! So nikawapokee JKNIA bad lucky muda alioniambia nilikuwa nje ya town kabisa!!
Nilimwomba jamaa yetu mwingine akawapokee awapeleke hotel [emoji545]

Kuna hotel pale Kariakoo huwa ndio anafikia, nikijua ningewajoin jioni.
Mambo yalienda poa, mshikaji ninamfahamu mke wake vizuri.
Nilivyowakuta yule Mwanamke hakuwa mke wake, nilijiuliza maswali sana! Mshikaji ni msabato 100%...mcha Mungu, mndhamini wa vikundi kanisani kwao, biashara yake inamwingizia kipato kizuri. Anaheshimika, hagusi pombe...

Mwanamke alikuwa mjamzito, jamaa akamtambulisha kuwa ni rafiki yake wa karibu, Mama kijacho wake!!
Nilishtuka sana, baadae jamaa alinijulisha yule Dada ni Mchepuko wake tu, ulioko kwenye system na gari moja ni ya huo mchepuko.

Mke wake hajui chochote, kilichofanya kuandika hapa sio hata kuwa na mchepuko.
Ishu ni kaka mdogo wa mke wa jamaa(mke halisi) aliyejiunga na sisi jana.
Kuna wakati Dada yake alimpigia simu mshikaji na kuomba kuongea na mdogo wake wakati anampa simu jamaa akaiweka loudspeaker? Ili asikie mke wake anasemaje.

Dah mke akamuuliza hapo mko wangapi? Jamaa akamwonyesha shemeji yake kwa ishara ya vidole vi3. Dogo akajibu hivyo hivyo tuko watatu.(heshima iliyojaa uoga) .
Nimemhurumia sana dogo, shemeji yake ana mchepuko mbele yake! Tumempa lift dogo, yeye aliishia Segera anaenda Tanga.

Alipanda gari niliyokua naendesha na Shemeji yake akawa anaendesha hiyo nyingine na mchepuko wake, sisi tulitangulia so tulivyofika segera tuliwasubiri walivyofika, wakaagana fresh na jamaa akamwachia dogo mpunga kidogo.

Tokea Dar nilikuwa najiuliza maswali kibao kichwani, huyu dogo alilichukuliaje hili swala, japokuwa sikutaka tupige stori za hilo jambo kabisa, bahati nzuri muda wote alikuwa ananisimulia mambo ya chuo coz amehitimu mwaka huu.

Sasa hivi tuko Moshi, nitaishia hapa as long as Arusha sio mbali mchepuko ataendesha gari yake!!
Aisee haya maisha ni full of surprises, huyu jamaa kipindi ninaoa muda mwingi alikuwa ananionya niachane na michepuko.

Kumbe na yeye ni jemedari wa mpango wa kando, na alimpa dada wa watu mimba ili asiolewe na mtu mwingine, ubarazuli namtafutia angle yake!! Mbaya zaidi hadi dogo amejua kuwa shemeji yake anamsaliti dada yake.
Nimeamini hakuna mwanaume asiye na mchepuko chini ya hili jua....

Mungu anisamehe huyo dogo sio mwanaume kombaME alishasema wanaitwa mazwazwa
Yaani anakua YUDA kwa dada yake bila huruma na huyo shemeji yake keshajua dogo hana akili
 
Back
Top Bottom