Numbisa wacha ukorofi ...wakiuana?
Umetisha.....Jitahidi ufikishe nae angalau mwaka ndio umuache
Kwani una mpango wa kuachana na biashara ya michepuko ukishaachana na huyo? Ikiwa jibu lako ni HAPANA, basi huna sababu ya kumwacha endelea nae. Uzuri kesha kuhakikishia ya kwamba hata ikiwa utaongeza mchepuko wa pili na wa tatu bado atakuganda.Asalam wandugu
Ni hivi ninamchepuko wangu hapa down town jiji la bashite..sasa huyu mchuchu niko nae kwa takriban miezi 10 sasa.. n bado yuko classic na anajua malove..
Cha ajabu yy n zaidi ya mchepuko..
>anajua nna mke na nna mtoto pia..ila ameniganda mpaka sielewi..na anasikiliza kila kitu nacho mweleza..
>Akitaka kuja home utasikia hi baby naomba nije kama bb mkubwa hayupo (bb mkubwa
anaishi mtaa wa 2)..
>Sometims: za asubuhi sweet nakupenda sana yaan nataman hata mkeo ajue japo nakuhofia kama hata kuelewa ila napenda familia yako.
>Akiondoka bb mkubwa naomba niongee na mwanao mbona hupendi hata nimsalimie
>Please mpnz naomba tuzae walau mtoto mmoja napenda kuwa na mm mama
>Kila wahuni wakimtia voco ananiambia, sasa m najiuliza si awakubalie aolewe
>Kila nikitaka kumwacha analia mpaka namwonea huruma..
>Na sijawahi hata kushituka kama analiwa na walaji
>cha ajab ni kuwa amekataa kuolewa na mtu mwingine hata niwe na michepuko mingine
NB: wife ana wivu sana
Nijuzeni niendelee nae au nitumie njia gani kumwacha bila maumivu..
N.k
Mkuu aman usiamn huyu mtoto hana swaga za kipiga vibomu mwenyewe awalj nilifikiri hvyo sikumpa hela yoyote takriban miez 4 na hakunidai chochote anajiweza hela ya kula haimpigi chenga japo nilimfinance kamtaji kidogiMchepuko siyo dili. Mapenz umeyaelekeza kwa make wako huyo nimchrpuko tu anakulia hela. Munyime hela tuone kama atakuganda sasa! Acha upofu Wa mapenz achana na huyo mwanamke ndoa yako ipate aman
Mm ni ndomu mpaka kukuche au napiga nje sasa yy hilo hafurahii kabisa, na siwezi labda nilogweusifanye ujinga wa kumpa mimba huo mchepuko utaomba ardhi ipasuke sasa hivi mapenzi yamekolea unaona utamuuu sasa ngoja kinuke ndio utajua true colour ya huyo dada. Uliza waliowahi kukutwa na mikasa kama hiyo utaelewa
Mkuu huyu bb mkubwa anaishi karibu bado nasubiri mambo yakae sawa nimlete ndani...yy anajua kabisa a to z lakini bado hachomoki.Kwani una mpango wa kuachana na biashara ya michepuko ukishaachana na huyo? Ikiwa jibu lako ni HAPANA, basi huna sababu ya kumwacha endelea nae. Uzuri kesha kuhakikishia ya kwamba hata ikiwa utaongeza mchepuko wa pili na wa tatu bado atakuganda.
BTW inakuwaje bibi mkubwa aishi mtaa wa pili na sio mtaani kwako??????? Wewe unaishi na nani hapo mtaani kwako? Hapo sasa ndipo ilipo siri ya yeye kukuganda anajua anaweza kuitwaa hiyo nafas ya bibi mkubwa. Na tayari keshakusoma udhaifu wako wote na wewe hapo ulishafanya uamuzi hapa unachotafuta ni justification tuu.
Sasa bosi oa kabisa huyo mchepuko.