Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,726
- 24,530
Inauma sana kwa mtu aliyepoteza ajira alafu anazungushwa-zungushwa badala ya kupewa hela yakeEasy man!
Huo ndo utendaji kazi wa taasisi zote Nchini.
Siyo mahakama, taasisi za kifedha, polisi, afya na hata za kidini ukienda huko na shida yako utaambiwa subiri usiwe na haraka swala lako linashughurikiwa haijarishi itachukua miezi, miaka na hata ikibidi milele...!
Inauma sana MkuuWabunge miaka mitano wanapewa chao mapema.
Ilibidi Wabunge wasubili nao mpaka wafike miaka 60 ndio hili jambo lingepata ufumbuzi.
Miradi ya Nssf hajuba gawiwo lilote wanalonufaika wanachama, wachawi wakubwa hao.
kama hajamkuta mtu anaweza kusema unadanganya.Hakuna jambo linauma kama kufukuzwa kazi katika kipindi ambacho hujajiandaa.
Tumaini linalobaki ni kwenye savings na pension. Lakini baadae wakati wa kufuatilia pension unajikuta katika maumivu zaidi ya ile ya kufukuzwa kazi.
Najiuliza Sheria iliyounda NSSF ilipitiswa na nani na kwa bunge lipi?
Itoshe Kusema NSSF Ni Matapeli kama Matapeli Wengine View attachment 3542538
Mtu Kapoteza ajira, anafungua dai la fao la kukosa ajira lakini mnampiga chenga Kila siku, Hakuna kinachoendelea.
Mkipigiwa simu hampokei, tukija Ofisini mnaishia kusema "swala lako linashughulikiwa". Maana yake ni nini?
Huu ni utapeli kama utapeli mwingine.
Siku zinakuja hizi taasisi za kitapeli zote tutazifuta kwa wino wa damu zenu wenyewe.
Wapumbavu nyie.
Kuna dogo mmoja alisema NSSF yake ni M_PESAWabunge miaka mitano wanapewa chao mapema.
Ilibidi Wabunge wasubili nao mpaka wafike miaka 60 ndio hili jambo lingepata ufumbuzi.
Miradi ya Nssf hajuba gawiwo lilote wanalonufaika wanachama, wachawi wakubwa hao.
Yaani inatia hasira sana.kama hajamkuta mtu anaweza kusema unadanganya.
Punguza hasira mkuu, chukua Tangawizi na Karafuu hapo utafune kwanza huku tukiwa tunaangalia jinsi ya kulitatua suala lakoSiku zinakuja hizi taasisi za kitapeli zote tutazifuta kwa wino wa damu zenu wenyewe.
Wapumbavu nyie.
Shida ni kwamba, kwa sasa Kila kampuni/ taasisi inalazimishwa na Sheria kuwaunga watumishi wake NSSF. Kampuni isiyo comply huwa inatozwa faini. Mimi mwenyewe sikutaka nijiunge na NSSF ila muajiri alinilazimishaKuna dogo mmoja alisema NSSF yake ni M_PESA
DOGO SIKUJUA ALI MAANISHA NINI DOGO YUPO KWENYE SECURITY COMPANIES..
Dah kmmk 😭Hapo bado! Utakapoenda unaambiwa unapewa 30% ya mshahara wako kila mwezi,utaenda kulilia posta mpya 🤣
Welcome to my ignored listHapo bado! Utakapoenda unaambiwa unapewa 30% ya mshahara wako kila mwezi,utaenda kulilia posta mpya 🤣
Hizi hasira zihamishie kwenye kupambana na serikali dhalimu, mimi utanionea tu 😂😂😂😂Welcome to my ignored list
Watu wanawatafuta watu ubaya hio 30% atashangaa haina tofauti na nauli aliyotumia kufika hapo ofisini kwao anaweza akazimiaHapo bado! Utakapoenda unaambiwa unapewa 30% ya mshahara wako kila mwezi,utaenda kulilia posta mpya 🤣
Mkuu nipo very high 😭Hizi hasira zihamishie kwenye kupambana na serikali dhalimu, mimi utanionea tu 😂😂😂😂
Punguza mukhari mkuu, km kuna Kitunguu Saumu karibu hapo chukua utafune mdogo mdogo wanakuja kukujibu hao wahusika wala usiwe na shakaMkuu nipo very high 😭
Msimu wa kilimo huu, mil tehemea hiyo hela niipeleke shamba. Lakini naona wao wanaleta mzaha. Natamani nikajilipuwe
kuna ndugu yangu alikua na mahesabu marefu sana alichoka alipopwa laki 4 😂😂😂😂😂 nacheka kama mazuri dah!Watu wanawatafuta watu ubaya hio 30% atashangaa haina tofauti na nauli aliyotumia kufika hapo ofisini kwao anaweza akazimia
Pole mkuu,for the mean time tafuta tu jambo lingine la kufanya lasivo utachizika.Mkuu nipo very high 😭
Msimu wa kilimo huu, mil tehemea hiyo hela niipeleke shamba. Lakini naona wao wanaleta mzaha. Natamani nikajilipuwe