Huu hapa msikiti wa majini

Dini ya kiislam wanadai wapo majini wema na majini wabaya , ukristo unasemaje kuhusu hao malaika unaodai ndio majini
si ajabu shetani kujigeuza akajifanya kana kwamba ni malaika wa nuru. Una habari hata huyo Allah ni mmoja wa miungu tuliokatazwa tusiiabudu?
 
si ajabu shetani kujigeuza akajifanya kana kwamba ni malaika wa nuru. Una habari hata huyo Allah ni mmoja wa miungu tuliokatazwa tusiiabudu?
Allah neno la kiarabu , Wakristo wa Palestine na uarabu kote biblia yao neno Mungu limeandikwa hivyo
 
“Wakawa baadhi yao wamesilimu,wakawa ndugu zetu ktk imani majini kwa sababu walisilimu”

Yumkini ndiyo maana husikika baadhi yao huishi na majini wengine kuyafuga kabisa kama mbuzi
 
“Wakawa baadhi yao wamesilimu,wakawa ndugu zetu ktk imani majini kwa sababu walisilimu”

Yumkini ndiyo maana husikika baadhi yao huishi na majini wengine kuyafuga kabisa kama mbuzi
 
Sikatai ila nakupa elimu ya wazi mno , Wakristo waliopo uarabu ndani ya biblia yao Mungu kaandikwa kwa jina Allah kama lugha yao inavyotaka
ishu sio jina linavyoandikwa/itwa. sio kila mungu ni Mungu. ndio maana kuna Mungu na miungu
 
Hukuna uislamu bila majini
Kila Muislamu ana jini lake

Na Wala haiwapi shida hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…