Hussein Mwinyi alikuwaje Mbunge wa Mkuranga wakati yeye ni Mzanzibar?

"Ukipuliza filimbi Zanzibar watu wote wanaisikia " &" Zanzibar yote naweza kuizunguka kwa baiskeli" by Ally Kessy.
 
Iv mbara anaweza kwenda kumilik pori huko Znz ? Maana nasikia hata mapenzi tu wadada wa znz wanatunyima wa bara
 
Muungano umeunganisha mengi.
Hata wewe unaweza kugombea ushehia au uwakilishi kule Pemba ilimradi tu usifuge nguruwe
 
Iv mbara anaweza kwenda kumilik pori huko Znz ? Maana nasikia hata mapenzi tu wadada wa znz wanatunyima wa bara
Mwanamke wa Znz atakunyima tu iwapo huja tahiriwa.
Ndio maana wasukuma na wangoni na wanyakyusa wakipangiwa kazi kule wanakwenda na wake zao
 
Mwanamke wa Znz atakunyima tu iwapo huja tahiriwa.
Ndio maana wasukuma na wangoni na wanyakyusa wakipangiwa kazi kule wanakwenda na wake zao
Ina onekana hujawah kufika znz kule wakikujua ni mbara upewi penzi
 
Kwani Nchi yetu inaitwa Zanzibar au Pwani Mkuranga au ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( Zanzibar ikiwa imemezwa ) ndani kama ni Kiashirio tosha Sisi ni Wamoja na Mtu ana Uhuru wa Kuishi popote na hata Kugombea Uongozi wowote pale akiamua?

Zanzibar kuna sheria zake huwezi kugombea nafasi yoyote iwapo wewe si Mzanzibar.Hali ni tofauti huku Tanganyika mzanzibar ruksa kujimwaga atakavyo.Chako chetu changu changu,natumaini umeelewa bado tunayaenzi mawazo sahihi ya Mwenyekiti wa chama.
 
Nyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara...
Mbowe Mnyasa wa Malawi alikuwaje Mwenyekiti wa CHADEMA
 
Nyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara...
Hussein ni Mndengereko wa Rufiji, si Mzanzibari....nani aliyekudanganya?
 
Nyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara.

Yote tisa kumi ni kivipi Mzanzibari anakuwa Mbunge sehemu ya Bara?

HUSSEIN MWINYI aliweza vipi kuwa MP na jimbo lake la uwakilishi kuwa Mkuranga sehemu ya Bara?
Mbona hushangai Mama Samia ni Mzanzibari lakini ndo Rais wa Tanganyika?
 
Haya ni mambo ya wakubwa sasa jidai wewe unakwenda kugombea sijui nini utaambiwa mpaka sio Raia,
 
Back
Top Bottom