Hussein Massanza, msemaji wa Singida Fountain Gate FC umepata wapi uhalali wa kuropoka hili?

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
"Hakuna klabu ya ligi kuu ya Tanzania isiyokuwa na madeni hivyo watuige sisi Singida Fountain Gate FC ambao huwa hatufichi na wala hatuoni aibu kusema kuwa tuna madeni lukuki" amesema Hussein Massanza msemaji wa Singida Fountain Gate fc

Taarifa: sports headquarters ya Efm radio hivi punde tu

tafadhali Hussein Massanza kwakuwa umesema kuwa hakuna klabu ya ligi kuu ya NBC isiyo na madeni je, unaweza kutusaidia mangumbaru ( tusiojua lolote ) madeni ya vilabu kama vya Simba, Yanga na Azam?

Na je, kwa huko kuropoka kwako kuvisemea hivyo vilabu kuwa vyote vinadaiwa walikutuma uvisemee?

He, kwa huku kukurupuka kuropoka kwako ikitokea baadhi ya vilabu vya ligi kuu ya nbc vikajitokeza na kukupa ushahidi wa financial statements zao na kuthibitisha kuwa havina deni lolote lile utasemaje? Credibility yako itabaki?

Mwisho kama hutojali nitapenda kama msemaji wa Singida Fountain Gate fc utuhakikishie kwa kutuonesha zilipo ofisi za klabu yako hapo / kule mkoani Singida kwani mwezi uliopita kuna mzee na mdau mkubwa wa soka mkoani Singida alisikika katika redio za ufm na hata efm akisema kuwa pamoja na Singida Fountain Gate fc kutamba kuwa na hela na mafanikio ila haina kabisa ofisi hapo Singida na kwamba ofisi za klabu yako ziko katika briefcase ya kiongozi / tajiri wenu
 
hiyo singida fountain gaye ndio byebye
 
Tozo zooote hizo tunazotozwa nchi hii Singida itakuwaje na madeni?
 
GENTAMYCINE kama GENTAMYCINE popoma la mwisho
 
Kile kipigo cha 3-0 kule ivory cost kinachangiwa na watu wa hovyo kama huyo waliowacha kazi zao na kuvamia soka jumlisha Aliy kamwe ,ahmed aliy privaldinho jumlisha viongozi wote wa tff!
 
Sasa wewe mbona unaandika kwamba huyo msemaji kataja team wakati yeye kataja club na hajasema kama ni Maisha Club au club ya Ligi Kuu?
IMG_20240118_173820.jpg
 
"Hakuna klabu ya ligi kuu ya Tanzania isiyokuwa na madeni hivyo watuige sisi Singida Fountain Gate FC ambao huwa hatufichi na wala hatuoni aibu kusema kuwa tuna madeni lukuki" amesema Hussein Massanza msemaji wa Singida Fountain Gate fc

Taarifa: sports headquarters ya Efm radio hivi punde tu

tafadhali Hussein Massanza kwakuwa umesema kuwa hakuna klabu ya ligi kuu ya NBC isiyo na madeni je, unaweza kutusaidia mangumbaru ( tusiojua lolote ) madeni ya vilabu kama vya Simba, Yanga na Azam?

Na je, kwa huko kuropoka kwako kuvisemea hivyo vilabu kuwa vyote vinadaiwa walikutuma uvisemee?

He, kwa huku kukurupuka kuropoka kwako ikitokea baadhi ya vilabu vya ligi kuu ya nbc vikajitokeza na kukupa ushahidi wa financial statements zao na kuthibitisha kuwa havina deni lolote lile utasemaje? Credibility yako itabaki?

Mwisho kama hutojali nitapenda kama msemaji wa Singida Fountain Gate fc utuhakikishie kwa kutuonesha zilipo ofisi za klabu yako hapo / kule mkoani Singida kwani mwezi uliopita kuna mzee na mdau mkubwa wa soka mkoani Singida alisikika katika redio za ufm na hata efm akisema kuwa pamoja na Singida Fountain Gate fc kutamba kuwa na hela na mafanikio ila haina kabisa ofisi hapo Singida na kwamba ofisi za klabu yako ziko katika briefcase ya kiongozi / tajiri wenu

Salama ndugu yangu? Waambie tu waanike hizo financial statements zao kama hawadaiwi naacha kazi na nichapwe viboko 100 hadharani wiki nzima!
 
ofisi za singida fountain gate fc ziko wapi mkuu hapa kwetu mkoani singida kwani nataka kuja kuwatembelea kesho
 
Back
Top Bottom