Hussein Bashe na kundi kubwa la Team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

Hussein Bashe na kundi kubwa la Team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

Nimekuwa kimya muda mfefu humu, hii ni kwa sababu tulikuwa tunaandaa mapokezi ya kiongozi wa hadhi ya juu kuwahi kuhamia upinzani ktk historia ya nchi yetu. Wapo wanaopiga propaganda kwamba Dr Slaa hajafurahishwa na ujio wa Lowassa tuwaache na tuwasamehe maana kula yao inategemea hicho wanachofanya. Dr hawezi chukia mavuno ya kazi ya mikono yake, amejenga chama kimbilio la wanyonge mpaka vigogo wa nchi hii.

Anyway, uzi wangu unataka kuwataarifu tu kwamba kazi ya mavuno ndo kwanza inaaza. Wiki hii tunatarajia kupokea mawziri watatu na waliokuwa wakuu wa mikoa watatu,hapo hatujagusia wabunge na madiwani na wanachama kwa maelfu.

Mavuno ya makapi au?
 
Taarifa za uhakika nilizozipata toka ndani ya team Lowassa pamoja na chanzo cha karibu na kijana wake mtiifu Bashe zinaeleza kuwa vijana hao wameamua kufanya maamuzi magumu Kama alofanya EL ya kuhama CCM na kuingia UKAWA kupitia CHADEMA....

let's wait and see..

IMG_0789.JPG
106.jpg
 
Wataisoma namba
T 2015 CDM
T 2015 CUF
T 2015 NCCR
T 2015 NLD
T 2015 UKAWA
Mtazisoma hizo
 
Baada ya kukamilika kikao cha Kamati Kuu ndani ya saa 72 kuanzia sasa wafuatao watakabidhiwa kadi:-

1. GOODLUCK OLE MEDEYE (MB)

2. CHRISTOPHER OLE SENDEKA (MB)

3. EMMANUEL NCHIMBI (MB)

4. SOPHIA SIMBA (MB)

NB:-

Hawatagombea nafasi zozote, kura za maoni zimekamilika majimbo yote.

#CCM MTANYOOKA TU.
watawekwe kwenye wabunge wa kuteuliwa na Rais
 
me ccm lakin kwa lowasa wacha niwape ukawa kura yangu
 
Chukueni mafisadi wenu na CCM yetu inaendlea kwa kwenda mbele kwa mbele!!!!!!!!!!!!!
 
Ila kaeni mkijua hao mtakaowavuni na kuwakabidhi ubunge, mtasababisha hasira kwa waliosotea ubunge miaka yote huku wakipigwa mabomu.
Wavuneni ila wawe wanachama wa kawaida, vinginevyo workdone =0.

chadema ni chama chenye kuamini utumishi uliotukuka na sio kungangania vyeo,

sote hakuna hasiye jua mchango wa dr slaa na freeman mbowe, katika kujenga hiki chama,tena hakuna watu waliopigwa mabomu na kudhalilishwa kama hawa,

lakini wote kwa kutambua kiu ya watanzania juu ya kutaka mabadiliko, na jinsi MH LOWASSA anavyo kubalika na watanzania walio wengi,

hawa kuona busara kutokum karibisha MH LOWASSA wakiamini pamoja tutashinda,

na wana chadema sote tunaamini katika umoja ndio maana (UKAWA) imezaliwa,

tuache majungu na umbea umbea, LOWASSA ndiye RAiS wa 5 anasubiri kuapishwa,
 
me ccm lakin kwa lowasa wacha niwape ukawa kura yangu

asante mkuu, endelea kuwaamasisha wana ccm wengine watuunge mkono maana kura zao ni zathamani kubwa kwa (UKAWA) kwa maendeleo ya taifa letu

(kARIBUNI KWENYE SAFARI YA UHAKIKA)
 
Katika hali ya kumshambulia nyoka au adui aliyekushtukiza huwezi kuchagua aina ya silaha. Ni kutumia chochote baada ya hapo ndo unajitathmini na kufanya matengenezo madogo madogo. La Msingi adui apigwe chini kwanza.

Songa mbele CDM, Go Go EL
 
Baada ya kukamilika kikao cha Kamati Kuu ndani ya saa 72 kuanzia sasa wafuatao watakabidhiwa kadi:-

1. GOODLUCK OLE MEDEYE (MB)

2. CHRISTOPHER OLE SENDEKA (MB)

3. EMMANUEL NCHIMBI (MB)

4. SOPHIA SIMBA (MB)

NB:-

Hawatagombea nafasi zozote, kura za maoni zimekamilika majimbo yote.

#CCM MTANYOOKA TU.

Hakuna jipya..hata shetani alivyokatwa, alishuka na wafuasi wake
 

Attachments

  • 1438156807704.jpg
    1438156807704.jpg
    101.1 KB · Views: 197
Back
Top Bottom