Bigboot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 310
- 77
Bashe akitaka afanye haraka kwasababu jimbo la nzega mjini wamempa mtu mwingine baada ya kigwangala kwenda kijijini na selelii pale mjini ccm wanaye mtu wao wanataka kumuweka ambaye sio bashe. hivyo akifanya mchezo hatapata ubunge. ahame haraka na ninavyosikia nzega wanampenda sana hivyo tutavuna kura zote pale ziende chadema.
Raisi wa Nzega yule