Hussein Bashe na kundi kubwa la Team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

Hussein Bashe na kundi kubwa la Team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
726
Reaction score
597
Taarifa za uhakika nilizozipata toka ndani ya team Lowassa pamoja na chanzo cha karibu na kijana wake mtiifu Bashe zinaeleza kuwa vijana hao wameamua kufanya maamuzi magumu Kama alofanya EL ya kuhama CCM na kuingia UKAWA kupitia CHADEMA....

let's wait and see..
 
Taarifa za uhakika nilizozipata toka ndani ya team Lowassa pamoja na chanzo cha karibu na kijana wake mtiifu Bashe zinaeleza kuwa vijana hao wameamua kufanya maamuzi magumu Kama alofanya EL ya kuhama CCM na kuingia UKAWA kupitia chadema....

let's wait and see..
Bashe akitaka afanye haraka kwasababu jimbo la nzega mjini wamempa mtu mwingine baada ya kigwangala kwenda kijijini na selelii pale mjini ccm wanaye mtu wao wanataka kumuweka ambaye sio bashe. hivyo akifanya mchezo hatapata ubunge. ahame haraka na ninavyosikia nzega wanampenda sana hivyo tutavuna kura zote pale ziende chadema.
 
sasa hii itadhihirisha ya Mwalimu Nyerere kuwa msije kuwa kama madodoki yaani mnaksanya kila takataka,
Taarifa za uhakika nilizozipata toka ndani ya team Lowassa pamoja na chanzo cha karibu na kijana wake mtiifu Bashe zinaeleza kuwa vijana hao wameamua kufanya maamuzi magumu Kama alofanya EL ya kuhama CCM na kuingia UKAWA kupitia chadema....

let's wait and see..
 
Taarifa za uhakika nilizozipata toka ndani ya team Lowassa pamoja na chanzo cha karibu na kijana wake mtiifu Bashe zinaeleza kuwa vijana hao wameamua kufanya maamuzi magumu Kama alofanya EL ya kuhama CCM na kuingia UKAWA kupitia chadema....

let's wait and see..
bashe fasta ujeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kurazamaoni nzega zimeshapta ama watarudiatena
 
Back
Top Bottom