Wewe Nape alivyokuja ukainama unadhani na wote ndio hivyo?
Yote yaleyale mabaki mtu kama sofia simba naye mtu sasa au huyo medeye ni sawa na debe tupu.Baada ya kukamilika kikao cha Kamati Kuu ndani ya saa 72 kuanzia sasa wafuatao watakabidhiwa kadi:-
1. GOODLUCK OLE MEDEYE (MB)
2. CHRISTOPHER OLE SENDEKA (MB)
3. EMMANUEL NCHIMBI (MB)
4. SOPHIA SIMBA (MB)
NB:-
Hawatagombea nafasi zozote, kura za maoni zimekamilika majimbo yote.
#CCM MTANYOOKA TU.
Yote yaleyale mabaki mtu kama sofia simba naye mtu sasa au huyo medeye ni sawa na debe tupu.
Baada ya kukamilika kikao cha Kamati Kuu ndani ya saa 72 kuanzia sasa wafuatao watakabidhiwa kadi:-
1. GOODLUCK OLE MEDEYE (MB)
2. CHRISTOPHER OLE SENDEKA (MB)
3. EMMANUEL NCHIMBI (MB)
4. SOPHIA SIMBA (MB)
NB:-
Hawatagombea nafasi zozote, kura za maoni zimekamilika majimbo yote.
#CCM MTANYOOKA TU.
Unajikakamua!

Mkuu sijui kosa langu ni nini mpaka uniambie hivyo ila nashukuru.