Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,265
Ni wapiga debe na washangiliaji (kama asemavyo Tundu Lissu)
Ni wapiga debe na washangiliaji (kama asemavyo Tundu Lissu)
madai ya kitoto kabisa,kambi lazima ktk siasa,ndio maana kambi zilivunjwa na hakumfwata manvi.Huyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
Mahaba ya B Kaluwa kwa Bashe.
Kwani hiyo rangi ni ya Bashe?!!!!Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Kwani hiyo rangi ni ya Bashe?!!!!
Sent from my D2403 using JamiiForums mobile app
Rangi ni chama gani hiyo!!Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Aah wahengaaaa,mnapenda kuwapakazia watuHuyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
Mara hii ushasahau wakati wa kampeni ilikuwa "chagua magufuli" na si chagua chama???!Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Bashe mwaka 2010 MWENYEKIT Benjamin William Mkapa chama cha Mapinduzi kilimkata katika mbio za ubunge wa jimbo la Nzega mjini na kuambiwa kuwa Baba yake Mohammed Ibrahim Bashe hakuwa mtanzania hatua iliomuibua Khamis Kigwangala ambae kabla alikuwa mtumishi katika taasisi ya WAMA huku Mr SELELII akienguliwa baada ya kuhoji mirabaha ya Migodi ya Madini ya dhahabu nchini na dhuruma dhidi ya mikataba mibovu ya uchimbaji dhahabu.
Chini ya mwenyekiti Mkapa selilii aliutema ubunge kwa kuitwa msaliti wa chama...
Tungoje ya Bashe na idara ya uhamiaji.
Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...