Sidhani kama kusema ukweli bila woga ni ujeuri.Hiyo ni nidhamu ya uoga
Basi mwalimu wako alipata tabu sana.....Sijakuelewa mkuu.
Bado unaamini nchi hii kuna upinzani kweli?Anajua hata akitoka CCM akaenda chama kingine cha siasa bado ataendelea kuwa mbunge kutokana na heshima aliyojijengea
Maneno kuntuHuyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
Wewe mhhWasomali ni watu jasiri acha kabisa, nafikiri ni kwasababu ya kula sana miraa!
Itakuwaje aweke alama ya CCM wakati alikuwa anazindua matawi yake?.Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Umempigia majungu huko nje sasa umeamua kuyaleta humu. Kwa taarifa Hussein Bashe ndiye mbunge wa CCM pekee mwenye hoja za kusisimua na akiendelea hivyo 2020 ategemee kiikwaa uwaziri.
Huyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Yanga🙂Hayana ' alama ' za CCM kwani ' logically ' tu hizo rangi hapo zinaashiria / zina akisi Chama gani? Hivi ni kwanini Mwenyezi Mungu Watu wengine aliwapa akili za ' Kutukuka ' lakini wengine kama Wewe akawanyimeni kabisa?
Watu Wa bashite mnaangaika sana...aya kavunjeni kama kibao cha wanyama streetMwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Kwa hiyo Bashe siyo ,Mtanzania bali ni msomali?Wasomali ni watu jasiri acha kabisa, nafikiri ni kwasababu ya kula sana miraa!