Huyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
Hiyo rangi tu ni ccm toshaMwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Uelewa wako ni mdogo sana! Huu ujinga upeleke facebookHuyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Anajua hata akitoka CCM akaenda chama kingine cha siasa bado ataendelea kuwa mbunge kutokana na heshima aliyojijengea

Bashe ndo mbunge pekee aliyebaki ccm ninayemkubali kwa 100% mwingine alishatangulia mbele ya haki hayati PhilikunjombeHuyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
true.Anajua hata akitoka CCM akaenda chama kingine cha siasa bado ataendelea kuwa mbunge kutokana na heshima aliyojijengea
Fanya facibility study kwa wabunge woooote wa ccm utagundua bashe ndo mbunge pekee aliyepo ccm anayekubalika vyama vyooote, hata atoke Leo ccm, ubunge kwake hauna shaka, ni muwazi anaongea kitu kilichopo si mnafiki ambayo ndio nguzo kuu uwapo ccm, mi ni shabiki wa cuf lkn akisimama bashe kugombea na cuf yangu bashe anachukua kura yangu mchana kweupeeee....Bashe atakuwa anaungwa mkono na watu wenye itikadi ya vyama tofauti na wale wasiokuwa na itikadi ya Chama chochote zaidi ya CCM.
Msukuma MGANGA wa kienyeji na silinde mjenz wa mashinabya ccm, usirudie kumfananisha Bashe na majitu ya hovyo hovyo, kiongozi utakuwa unakosea sana....Kuna msukuma na silinde.Huwa siwaelewi wanaongeaga nini bungeni

Bashe ni jasiri wa kuamini na kusimamia msimamo anao amini tatizo ccm utamaduni huu kwenu ni mgeni hivyo mmekuwa kasuku wa kuiga sauti ya mwenyekiti zama za kauli mbiu ya zidumu fikra za mwenyekiti zama hizo kwenye kizazi cha akina Bashe na Nape hazina maana tena kila mmoja ana fikra huru hata ww mtoa mada kuwa na fikra huru
Kaiba utukufu kidogo, kwa hiyo wamekerwaJeuri gani?